Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajumbe 1200 wanawekwa kwenye kiroba au gunia na kujumlishwa? We Mwakitwange weweNccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana 😂🔥
😂😂Wajumbe 1200 wanawekwa kwenye kiroba au gunia na kujumlishwa? We Mwakitwange wewe
Khaaaa we jamaa wewe. Chama kama mali ya mtuKile Chama kilikuwa cha Muhaya fulani Lyatonga akamdhulumu 😂😂
Sijui huu Uenyekiti huwa una nini? kila mmoja hataki kuachia, Zitto naye ni kama vile bado yeye ndiyo kiongozi wa chama yule maza yupoyupo tu paleAlitaka Kufanya mchezo huu huu anaoufanya Mbowe Chadema, ndipo anafurushwa na Shamba la Chama alilojimilikisha kinyemela likarejeshwa🐼
Lissu aende ACT na timu yake,act ina mtaji zenjiIna Msingi Imara Sana hadi Vijijini Lisu akirejea itakuwa Chama kikuu Cha Upinzani
Akajisalimishe kwa Zitto siyo - ni wazo zuri.Lissu aende ACT na timu yake,act ina mtaji zenji
Nilipotoka Chadema 1995 nilijiunga na Nccr Mageuzi ya Lyatonga na Nyaucho 😄Ukitaka kujua pori halina mwenyewe kweli we lima au kata walau mti mmoja afu usikikizie.
Kumbe wakati mwingine una akili sana.Ukweli mchungu Lissu akipata zaidi ya 20% akatoe sadaka Misikitini na Makanisani.Nccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana 😂🔥
Kile chama cha Wapemba.Akajisalimishe kwa Zitto siyo - ni wazo zuri.
Abaki mjumbe wa kudumu wa Kamati kuu chama na mlezi wa chamaFAM akiachia ataenda wapi? 😂
Inawezekana kabisa kula hela na kuamua vinginevyo sababu ukipewa rushwa hunyang'anywi kichwaNccr Mageuzi ni kundi kubwa lililounda movement ya mabadiliko ya Kisiasa nchini
Vyama vingine Vyote viliundwa Kwa Wazo la Mtu mmoja mmoja aliyeamua kuwashirikisha Rafiki zake Ili Kupata idadi ya Wanachama wanaohitajika kisheria kusajili Chama
Mfano Chadema ni Wazo la Mzee Tuntemeke Sanga aliyewaalika rafiki zake akina Mwakitwange, Mtei, Ngaiza na Makani pale Motel Agip na kuwashirikisha maono yake kisha wakaiba Katiba ya awali ya Nccr Mageuzi na kuifanya yao 😂
Sasa kama Lisu anataka Kufanya Siasa Shirikishi na kuachiana na Siasa uchwara za kunywea Mbege basi arejee Nccr Mageuzi
21 January hawezi kushinda Uenyekiti Chadema Kwa sababu Wajumbe 1200 ni wachache Sana kuwatia kwenye gunia na kuwanunua Kwa Bei ya Jumla
Ahsanteni Sana 😂🔥
Niko hapa Rombo wajumbe Wote wameingiziwa Nusu muamala na 21 January ni ukamilisho 😂😂😂Kumbe wakati mwingine una akili sana.Ukweli mchungu Lissu akipata zaidi ya 20% akatoe sadaka Misikitini na Makanisani.
Lissu si Kiongozi ni mwanaharakati uchwara
Lissu hana ushawishi ndani ya CDM.
Lissu ni mropokaji mahiri
Lissu anajua atashindwa asubuhi lakini hana plan B.
Huko NCCR unakomshawishi hawataki sarakasi zake.
Akienda ACT watamyumia kwa muda mfupi sana halafu watamtimua hawawezi kufuga jini.Si hivyo tu kile chama ni Wapembe,Swala tano na ukanda wa Pwani.Lissu anatokea Singida kwa wala Punda utamaduni tofauti Pwani.
Ni afadhali kuliko Chama Cha Mchagga mmoja 😂😂Kile chama cha Wapemba.
Kumbe wakati mwingine una akili sana.Ukweli mchungu Lissu akipata zaidi ya 20% akatoe sadaka Misikitini na Makanisani.