Ashampoo burning
JF-Expert Member
- May 12, 2023
- 593
- 2,219
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories.
Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini.
Waislam wao muda wote kuwaza fujo na kuhisi wanaonewa na kuwa mafundisho yanachochea fujo most of the time.
Nina mpango wa kuanzisha atheist society Tanzania itayowakutanisha wanasayansi wa nchi hiii wasomi walio elimika wanahistoria walio elimika na kujua kuwa mambo sijui ya MUNGU ni uongo na hakuna kitu kama hicho.
Kutoka na nature ya nchi atheist society hii itabid iwe ya siri sana atleast atheist wa nchi hii wawe wanakutana atleast kushare ideas na jinsi ya kusaidia taifa kuondoka na imani pofotu zitokanazo na ukristo pamoja na uislam.
Society hiii pia itahusika kuhakikisha inapata inakuwa na ushawahishi wa siri kuhakikisha inapanda viongozi kitaifa ambao watukuwa hawaamini ukristo wala uislam ili taifa liondokane na huu utumwa.
Society hii itakuwa sehemu kuwa atheist kushare idea mbalimbali zenye mantiki pia kutoa misaada kwa watoto wanaofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi na mengineo kimya kimya ili kuwaanda waje kuwa member wa Society.
Jambo la msingi la society inahitaji fund ambapo mimi kama mimi kama nikiishandaa mpango kazi wa society hii nitachangia million 10 kufanyakisha mkutano wa kwanza wa atheist Tanzania.
Asanteni kama wewe ni atheist unaweza changia hoja au mawazo.