Chama cha wasio waislam wala wakristo kinahitajika

Ashampoo...
Nakuomba ruhusa uniruhusu mimi Muislam nichangie.

Nakuomba ruhusa kwa sababu umesema asiyeamini Mungu ndiye ashiriki mjadala huu.

Kwanza napenda kukutahadharisha kuwa ikiwa unataka Wapagani peke yao wachangie huu mjadala utakufa hata kabla ya kuanza.

Wapagani ni wachache sana Tanzania.

Hili mosi.

Pili uzoefu unaonyesha kuwa wengi wanaojiita Wapagani kabla walikuwa Wakristo.

Huwezi kumpata Muislam aliyemwamini Mungu akakengeuka na kumkana Allah.

Hakuna.

Huo mkusanyajiko wako utakuwa wa watu ambao zamani walikuwa Wakristo.

Tatu na hili ndiyo msingi wa fikra zako ni kuwa unakusudia kuanzisha chama cha Wapagani.

Kuna mambo lazima yawepo kwanza ili watu wawe wamoja na kuunda chama cha siasa.

Katika Upagani Tanzania hakuna watu.

Huwezi kufanya hayo utakayo mahali patupu.

Mwisho hapana haja ya kutukana dini na kuita "ujinga."

Ikatae dini bila kutukana kwani dini ni jambo la khiyari na katiba ya Tanzania inalinda hilo.

Muislam au Mkristo hana haki zaidi dhidi ya Mpagani.

Wote ni sawa.

Soma historia iliyo jirani sana na wewe historia ya TANU kuna mengi utajifunza.
Mzee wangu kukwepa hizi aibu ndogo ndogo uwe unajisomea,nani kakwambia kuwa atheist walikuwa wakristo pekee?
 
Samson...
Umeanza kwa kuniambia kuwa nisome kuondoa aibu ndogo ndogo.

Umenishauri nijisomee.

Tuanze na haya mawili kisha In Shaa Allah tutakwenda kwa wasioamini Mungu:

PUBLICATIONS/RESEARCH PAPERS/ARTICLES

The Life and Times of Abdulwahid Sykes 1924 –1968 The Untold Story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika, Minerva Press London, 1998 translated into Kiswahili as Maisha na Nyakati za Abdulwahid Sykes 1924-1968 Historia Iliyofichwa Kuhusu Harakati za Waislam Dhidi ya Ukoloni wa Waingereza, Phoenix Publishers, Nairobi, 2002.

The Torch on Kilimanjaro, Oxford University Press, Nairobi, 2006

Contributing author for an African anthology: The Mermaid of Msambweni and Other Stories, Oxford University Press 2007, Nairobi.

Contributing author Dictionary of African Biography (DAB), Oxford University Press 2011, New York.

Uamuzi wa Busara, Abantu Publications 2008, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No. 1, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam.

Watu Mashuhuri Katika Uhuru wa Tanganyika No.2, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dar es Salaam na Wazalendo Wake Mashujaa Katika Kupigani Uhuru wa Tanganyika Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaaam

Watu Mashuhuri Katika Kuulingania Uislam Tanzania, Sheikh Ilunga, Ibn Hazm Media Centre 2018, Dar es Salaam

Dola, Kanisa na Tatizo la Udini Tanzania, Ibn Hazm Media Centre, 2018, Dar es Salaam

The School Trip to Zanzibar, Africa Proper Education Network 2020, Dar es Salaam

Rajabu Ibrahim Kirama, Jemadari wa Vita Kuwa Jemadari wa Uislam, Readit, 2020, Dar es Salaam

In Praise of Ancestors (1987) Africa Events (London).

Abdulwahid Sykes: Founder of Political Movement (1988) Africa Events (London).

Islam and Politics in Tanzania (1989) Al Haq International (Karachi)

The Plight of Tanzanian Muslim (1993) Change (Dar es Salaam).

Tanzania - The "Secular" Unsecular State (1995) Change (Dar es Salaam).

The Question of Muslim Stagnation in Education in Tanzania - A Muslim Riddle (Paper presented at the Conference of the Global World of the Swahili Intercultural Dialogue on the Indian Ocean Zanzibar, February 20 - 23, 2003).

Islamic Education and Intellectualism in Eastern Africa ‘Themes from the Pulpit in Tanganyika (Tanzania Mainland) 1800 – 2000’ (Paper presented at International Symposium on Islamic Civilisation in Eastern Africa Kampala, Uganda organised by the Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA), Istanbul and the Islamic University in Uganda, Mbale December 15th – 17th 2003).

Sheikh Hassan bin Ameir - The Moving Spirit of Muslim Emancipation in Tanganyika (1950 – 1968) (Paper presented at Youth Camp Organised by Zanzibar University, World Assembly of Muslim Youth (WAMY) and Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) 27th February – 4th March 2004).

Islamic Movement and the Christian Lobby in Tanzania - the Experience of the late Prof. Kighoma Ali Malima (1938 – 1995) (Paper Presented to Tanzania Muslim Students Association (TAMSA) Sokoine University of Agriculture (SUA) Morogoro 11th April 2004).

Terrorism in East Africa the Tanzanian Experience (Paper Presented at the Conference on Islam, Terrorism and African Development University of Ibadan, Nigeria 8th - 10th February 2006).

Al Marhum Sheikh Kassim bin Juma bin Khamis (1940 – 1994) and the Pork Riots of 1993. (Paper Presented at the Regional Conference on Islam in Eastern Africa: Islam Encounter with the Challenges of the 21st Century 1st - 3rd August 2006, Kenyatta University, Nairobi.

Muslim Bible Scholars of Tanzania – The Legacy of Sheikh Ahmed Deedat (1918 – 2005) Paper Presented at the International Symposium on Islamic Civilisation in Southern Africa Organised by The Organisation of Islamic Conference Research Centre for Islamic History, Art and Culture (IRCICA) The National AWQAF Foundation of South Africa (AWQAF SA 1 – 3 September 2006 University of Johannesburg.

Tanzania: A Nation Without Heroes Seminar Organised by IFRA French Institute for Research in Africa and BIEA British Institute in East Africa 23rd and 24th September 2013 at IFRA Nairobi.

Awards: Several Awards

Visiting Scholar: (2011)
University of Iowa, Iowa City, USA
Northwestern University, Chicago, Illinois, USA
Zentrum Moderner Orient (ZMO), Berlin.

OTHER COUNTRIES VISITED
Zambia, Ethiopia, Great Britain, Swaziland, Msumbiji, Zimbabwe, Zambia, Sudan, Egypt, Saudi Arabia, United Arab Emirates, Oman, Yemen, Uganda, Switzerland, Iran, France, Netherlands, Turkey and Abu Dhabi.

Tumemaliza hili la mii kusoma.
Si kuwa nasoma bali naandika pia.

Sasa tuingie kwenye somo la wasioamini Mungu.

Mimi nasema haya kutokana na utafiti wakati naandika mengi katika historia ya Tanzania.

Wote walioingia katika kutoamini Mungu ambao mimi nimepata kuwajua sikukuta hata mmoja Muislam.

Nimetaka kujua kwa nini hata Waislam ambao walikuwa Marxist ikiwa kuna wakati wowote katika maisha yao walimkana Allah.

Sikupata.
 
Nimetaka kujua kwa nini hata Waislam ambao walikuwa Marxist ikiwa kuna wakati wowote katika maisha yao walimkana Allah.Sikupata.
Mzee said kumbe umetembea na kuona wengi hivi,kwanini unashindwa kujua kwasasa mamia ya waislamu marekani wanakuwa atheists?
 
Hili silijui nipo tayari kujifunza ingawa nashangaa kwa kuwa nina wasomi marafiki zangu Marekani hawajanieleza.

Tafadhali nipe source ya hii taarifa yako.
 
Wadau mimi nimekuwa atheist kwa miaka 20, sasa nikiwa mdau mkubwa sayansi technology and fact, scientific theories.

Nimekua nikiiona huruma sana jinsi dini ya ukristo inavusambaa kwa kasi na watu kuamini vitu potofu na wachungaji kuwadanganya waumini.

Waislam wao muda wote kuwaza fujo na kuhisi wanaonewa na kuwa mafundisho yanachochea fujo most of the time.

Nina mpango wa kuanzisha atheist society Tanzania itayowakutanisha wanasayansi wa nchi hiii wasomi walio elimika wanahistoria walio elimika na kujua kuwa mambo sijui ya MUNGU ni uongo na hakuna kitu kama hicho.

Kutoka na nature ya nchi atheist society hii itabid iwe ya siri sana atleast atheist wa nchi hii wawe wanakutana atleast kushare ideas na jinsi ya kusaidia taifa kuondoka na imani pofotu zitokanazo na ukristo pamoja na uislam.

Society hiii pia itahusika kuhakikisha inapata inakuwa na ushawahishi wa siri kuhakikisha inapanda viongozi kitaifa ambao watukuwa hawaamini ukristo wala uislam ili taifa liondokane na huu utumwa.

Society hii itakuwa sehemu kuwa atheist kushare idea mbalimbali zenye mantiki pia kutoa misaada kwa watoto wanaofanya vizuri kwenye masomo ya sayansi na mengineo kimya kimya ili kuwaanda waje kuwa member wa Society.

Jambo la msingi la society inahitaji fund ambapo mimi kama mimi kama nikiishandaa mpango kazi wa society hii nitachangia million 10 kufanyakisha mkutano wa kwanza wa atheist Tanzania.

Asanteni kama wewe ni atheist unaweza changia hoja au mawazo.
Siamini katika uislam wala ukristo wala Dini za asili ila naamini kuna nguvu kuu ambayo inaongoza mambo yawe vile yanavyokuwa.

(NATURE)
 
Tupo wengi tunaojua kuwa hakuna kitu kinaitwa Mungu
 
Back
Top Bottom