Chama cha wasiooa cha laani ongezeko la Posa kinyemela

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,921
Chama cha vijana wasiooa Tanzania
IMG-20180518-WA0002.jpg
 
Dah...kuna posa (ada ya maombi)...na mahari (ada ya kuoa mke)...sasa sijui wewe unalalamikia ipi?
Kwa kawaida posa hua hairudi hata ukinyimwa mke......na mara nyingi huwa haiwi pesa taslim...inaweza kuwa kreti la bia...debe la senene....vitambaa vya jasho (leso)...au hata bunduki kwa jamii nyingine 🙂
 
Mie hiyo anwani na mtumaji tu niko hoi!!!! ama kweli
Ndio muwasikilize, alafu nimeielewa avatar yako... Someone is coming soon [emoji122] [emoji122] [emoji2] [emoji115]
 
Mkuu sasa hivi dawa ni kuoa kwa deni .
Wakisema mahari ni sh laki 5 wewe unawapa laki 1 halafu unawaambia nyingine utamalizia baada ya ndoa.
Wakikubali imekula kwao..
 
Dah...kuna posa (ada ya maombi)...na mahari (ada ya kuoa mke)...sasa sijui wewe unalalamikia ipi?
Kwa kawaida posa hua hairudi hata ukinyimwa mke......na mara nyingi huwa haiwi pesa taslim...inaweza kuwa kreti la bia...debe la senene....vitambaa vya jasho (leso)...au hata bunduki kwa jamii nyingine 🙂
Mjumbe hauwawi [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji4]
 
Mkuu sasa hivi dawa ni kuoa kwa deni .
Wakisema mahari ni sh laki 5 wewe unawapa laki 1 halafu unawaambia nyingine utamalizia baada ya ndoa.
Wakikubali imekula kwao..
Hahaha strategist... Nzuri hii [emoji2] [emoji2]
 
Dah...kuna posa (ada ya maombi)...na mahari (ada ya kuoa mke)...sasa sijui wewe unalalamikia ipi?
Kwa kawaida posa hua hairudi hata ukinyimwa mke......na mara nyingi huwa haiwi pesa taslim...inaweza kuwa kreti la bia...debe la senene....vitambaa vya jasho (leso)...au hata bunduki kwa jamii nyingine 🙂
yaani umpe baba mkwe bunduki ili ukimliza mtoto wake akubomoe vizuri sio...Nehi![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom