Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjumbe hauwawi [emoji114] [emoji114] [emoji114] [emoji4]Dah...kuna posa (ada ya maombi)...na mahari (ada ya kuoa mke)...sasa sijui wewe unalalamikia ipi?
Kwa kawaida posa hua hairudi hata ukinyimwa mke......na mara nyingi huwa haiwi pesa taslim...inaweza kuwa kreti la bia...debe la senene....vitambaa vya jasho (leso)...au hata bunduki kwa jamii nyingine 🙂
[emoji23][emoji23][emoji23]Mie hiyo anwani na mtumaji tu niko hoi!!!! ama kweli
yaani umpe baba mkwe bunduki ili ukimliza mtoto wake akubomoe vizuri sio...Nehi![emoji23][emoji23][emoji23]Dah...kuna posa (ada ya maombi)...na mahari (ada ya kuoa mke)...sasa sijui wewe unalalamikia ipi?