britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Chama changu cha Mapinduzi
Tukitaka kuendelea kuongoza nchi tubadili mbinu
Hakikisha hatuweki mtu anayetumia nguvu kubwa kijibrand badala ya kazi kumbrand, kuna Vijana ambao kwakweli tuwe wakweli wanapiga kazi na wanakubali wanapokosea, wako humble Kwa wananchi , na ni wasafi Narudia ni wasafi nataka mjue hivyo ni wasafi hawana harufu ya ufisadi
1. Innocent Bashungwa
Kijana mmoja smart Mtanashati asiye na makuu Mtenda haki dhidi ya wengine ambaye akipata nafasi za juu ndani ya serekali tutapata jembe moja zuri , is so humble na anakiri anapokosea, anafuatiliwa sana Jamaa hata juzi kwenye ajali ya ndege bukoba hotuba yake imejaa hekima kuliko siasa na ni mtu pekee alokiri makosa ya serikali.
2. Hussein Bashe
Mwamba wa AMKOS ameiwezesha wizara yake ya kilimo kufika mbali hata Kama bado kuna changamoto kadhaa ila tunaelewa shughuli yake CCM Hawa ndo watu wa kuwashika sana.
3. Anthony Mtaka
Nani asiyeelewa kazi ya mwamba huyu Jamaa anaweza kazi sana ni msafi hana Makubdi and he is so intelligent Kabisa na anajali sana kazi yake kuliko jambo lolote.
4. Steven Masele
Ana msimamo kwenye mambo ya msingi hayumbishwi hata kidogo na anatetea anachokiamini, ni mtendaji mzuri wa kazi tena sana.
5. Togolan Mavura
Kwa ambao hamjui Jamaa ndo masta plan wa shughuli nyingi serikali zinazoonekana kukwama na akihusishwa zinaenda huyu Balozi jembe sana na Kwa taarifa nilizopenyezewa yeye na mzee wa nzega,Mkata na Bashungwa ndo mama anawaangalia Kama watu wa kuwapa Majukumu mazito sana anaposhindwa.
6. Joanfaith Kataraihya (DED sehemu)
Haka kadada bwana kuna mtu alikataka kakakataa na ni mtu mzito tuachane na hayo twende kwenye kazi kamepiga kazi kuzidi Mkurugenzi yeyote wa Almashauri kuwai kutokea eneo alipo, tokea kaenda kuna mabadiriko makubwa sana sehemu anapoongoza, si mla rushwa ni mtiifu Kwa wananchi na anaelewa kazi
7.Steven Byabato
Kwa taarifa wengi hawajui bwana Makamba anazingua wizara hii hata hicho kidogo ni Kwa sababu ya mipango ya Bwana Mdogo huyu
Ombi Kwa CCM hizi ni hazina zitunzwe Lakin pili tunaomba tuwapate wengine wa aina hii ambao hata hatuwajui kuweza kuwa na timu ya kutosha hapo baadae
Kidumu Chama cha Mapinduzi
Britanicca