Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

Kukubali kuolewa na CCM na kuwa mchepuko wa nje wa CCM hiyo ndiyo mikakati mizuri ya ACT wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…