Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Kwahiyo hapo lumumba wewe ni Volunteer?Hii kitu buku saba haipo wala sio kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo lumumba wewe ni Volunteer?Hii kitu buku saba haipo wala sio kweli.
Mimi sijui hata habari ya Lumumba. Unanisingizia tu kisa kusema kweli.Kwahiyo hapo lumumba wewe ni Volunteer?
Nani Ccm? Usinitafutie banMambo ya mikakati mizuri ya kisiasa ukikishauri chama chako cha CCM ambacho kimekuja na kampeni ya kulitafuna Taifa inatosha🐒🐒🐒
View attachment 2084450
Malaika msiokosolekaMtu anayetumia makalio kufikiri ni janga la taifa.
Mimi wajibu wangu ni kupiga spana,mambo ya ban hayanihusu.Nani Ccm? Usinitafutie ban
Ili awe CDM awe na tabia za praise & worship team au siyo? Kwahiyo ukiwa CDM utakiwi kukosoa hata ikiwa inakosea?Wewe siyo CDM, nyambaf
Be wise madamUkipost nyuzi ngapi ndiyo wamekuahidi kupata uteuzi?
Huyo ni CCMWewe siyo CDM, nyambaf
Kwanini usihamie ACT kwenye chama chenu makini cha waha?Mimi ni Cdm ila kusema kweli ndiyo inakuwa kosa.
Sasahivi wanakopwa sn muulize johnthebaptistHaya wahi lumumba kapokee buku 7 yako.