Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Hawana muendelezo wa sera zao ama walizonazo hazieleweki kabisa??Hakuna, wote wahuni tu.
Hawana muendelezo wa sera zao ama walizonazo hazieleweki kabisa??
Uwongooooo dira ya 2000_2025 iko wapi mnarukia magari mengineCCM Wana Sera zinazoeleweka hata kama nyingine hazikubaliki
Wapinzani Sera yao Kuu ni kupata Kura za Kuwapa Ruzuku iliyonona
Usichanganye Ilani za uchaguzi na sera wewe Mzee.CCM Wana Sera zinazoeleweka hata kama nyingine hazikubaliki
Wapinzani Sera yao Kuu ni kupata Kura za Kuwapa Ruzuku iliyonona
Hili nalo wakaliangalie. Dira ya 2020 -2025 haijafanyiwa tathimini wameibuka na harakati za dira 2050.Uwongooooo dira ya 2000_2025 iko wapi mnarukia magari mengine
Ccm nyie bado mnasiasa zilizopitwa na wakati mkifika wakati wa uchaguzi sera zenu ni zile zile tumejenga Barabara,mitaro tumenunua ndege nkCCM Wana Sera zinazoeleweka hata kama nyingine hazikubaliki
Wapinzani Sera yao Kuu ni kupata Kura za Kuwapa Ruzuku iliyonona
Kwa upande wa vyama, Tanzania we are very unfortunately, hatuna vyama kabisa in a real sense ya vyama vya siasa!, hivyo Watanzania hatuna choice to choose from, tuna chama kimoja tuu, the one.and only, kile chama chetu!, tena sio chama cha siasa, ni chama dola!, ni dola!. CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Tofauti na CCM hakuna Vyama Kwa mbali ACT ,hicho Kingine kinategemea matukio ila hakina sera zozote.Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Bwashee Wewe Sera za CCM huzielewi?Usichanganye Ilani za uchaguzi na sera wewe Mzee.
Upo "Havoc night Club" ama upo "Kitambaa cheupe" unakula maisha...ππ
Sera ya Chadema tangu awali ilikuwa kumilikisha mabwanyenye njia Kuu za uchumi ila walipomchumkua Dr Slaa kutokea CCM Ndio wakajivuruga na kupoteza mwelekeoTofauti na CCM hakuna Vyama Kwa mbali ACT ,hicho Kingine kinategemea matukio ila hakina sera zozote.
Aliyewahi kushika sera ya maana Chadema aweke hapa
Sasa wanyonge itakuaje? ππSera ya Chadema tangu awali ilikuwa kumilikisha mabwanyenye njia Kuu za uchumi ila walipomchumkua Dr Slaa kutokea CCM Ndio wakajivuruga na kupoteza mwelekeo
Kwamba kuna Sera za Magufuli, Samia na Tundu Lissu ? Tupo enzi za Ufalme au demokrasia ya vyama vingi ? In short unachosema hivi vyama havina Sera bali maamuzi ya kiongozi ataamka vipiChini ya Samia CCM kidogo naikubali, baada ya miaka ile ya magufuli ya kukimbiza wawekezaji, kuvuruga wafanyabiashara, kuvuruga demokrasia na utawala wa sheria na kuvuruga mahusiano na majirani na nchi za ng'ambo
Kidogo Samia anaeleweka japo mapungufu yapo
Chadema chini ya Tundu Lissu, ambaye ndie amekua kama De facto party leader, naona imekuwa very extreme, intolerant, na ya kibaguzi, haina sera, sera yao wanakuambia ukiitoa CCM matatizo ya nchi hii yanakwisha....hawana alternative inayoeleweka kuhusu uchumi wala mambo ya kijamii, ni vululuvululu tu, na ukiwa challenge kidogo kuhusu sera na mikakati yao unaambulia matusi