Kwanini hutengenezwa sera ambazo hazina muelekeo yaani sera ambazo hazina tija je wabunge huwa wanayajua madhara ya sera wanazo zopitisha? Kwa hapo baadae
Na Ndiyo msingi wa kuuliza, kwanini wanapitisha sera ambazo hazina tija wakati mwingine hazitekelezeki kwavile wanaitumia Sheria za zamani, swali fikirishi kwanini watu tunao wapa dhamana huahirisha kufikiri kwa nafsi
Kununua sababu kwamba walikuwa hawana pesa kabla ya kufungulia nchi au kulikuwa hakuna sababu kwamba viwanda vya ndani (vilivyokuwepo) havikutosheleza lakini kosa lililofanyika ni kuwa Mercantilism i.e. protectionists jambo ambalo sasa hivi wanafanya USA na EU dhini ya China..., Mimi nikiwa mdau wa globalism nakubaliana na Adam Smith...., It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy... Hapo key word what will cost him more na sio kwamba kila kitu umpe mtu afanye kwa minajili / mgongo wa kufungulia nchi huo ni uzwazwa....
and is that happening now ? na mbaya zaidi hiki ni kipindi cha automation na technology nguvu kazi sio deal tena kwahio usitegemee uwekezaji utakuwa directly proportional na ajira pili privatization usiifanye kwenye commanding heights of the country economy au vitu ambavyo ni huduma jambo ambalo walifanya Uingereza na leo wanajuta au nchi nyingine zinarudi kwenye renationalization..
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa vipi. Kwa msaada huo ninaleta extract kutoka kwenye Gazeti la the Guardian kuona mtizamo wao kuhusu...
www.jamiiforums.com
au unadhani kwanini privatisation inafanya kazi ? na je inaweza kufanya kazi bila competition ?
Everything has Pro and Cons; and before you do anything you need to weigh the Pro over the Cons..., We need to understand what we want, because what we might want, might not be solved by what we might do... To encapsulate that, I hereby bring forward an article which might shade some light on...
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Hio inaitwa ufalme au monarchy ila hata hio mfalme hajiamulii kuna miiko ambayo hawezi kuivunja
Kununua sababu kwamba walikuwa hawana pesa kabla ya kufungulia nchi au kulikuwa hakuna sababu kwamba viwanda vya ndani (vilivyokuwepo) havikutosheleza lakini kosa lililofanyika ni kuwa Mercantilism i.e. protectionists jambo ambalo sasa hivi wanafanya USA na EU dhini ya China..., Mimi nikiwa mdau wa globalism nakubaliana na Adam Smith...., It is the maxim of every prudent master of a family, never to attempt to make at home what it will cost him more to make than to buy... Hapo key word what will cost him more na sio kwamba kila kitu umpe mtu afanye kwa minajili / mgongo wa kufungulia nchi huo ni uzwazwa....
And why is that ? sababu ya marginalization and mental slavely au sababu hawafungulii nchi ?
and is that happening now ? na mbaya zaidi hiki ni kipindi cha automation na technology nguvu kazi sio deal tena kwahio usitegemee uwekezaji utakuwa directly proportional na ajira pili privatization usiifanye kwenye commanding heights of the country economy au vitu ambavyo ni huduma jambo ambalo walifanya Uingereza na leo wanajuta au nchi nyingine zinarudi kwenye renationalization..
Wakati ambapo naona Sera ni kubinafshisha na kuuza mali zote za State/ na kwa mwendo huu huenda hata TANESCO ikawa kwenye Pipeline ni vema tukaangalia waliotangulia walifanya nini na walifanikiwa vipi. Kwa msaada huo ninaleta extract kutoka kwenye Gazeti la the Guardian kuona mtizamo wao kuhusu...
www.jamiiforums.com
au unadhani kwanini privatisation inafanya kazi ? na je inaweza kufanya kazi bila competition ?
Everything has Pro and Cons; and before you do anything you need to weigh the Pro over the Cons..., We need to understand what we want, because what we might want, might not be solved by what we might do... To encapsulate that, I hereby bring forward an article which might shade some light on...
Mzee umeandika essay ndefu sana ambayo ni nadharia na utopia tu
Uhalisia ni kuwa Watu weusi akili hawana, na hivyo Africa inahitaji uwekezaji ili kuendelea, nchi zilizoendelea kidogo huku sub Sahara Africa ni kutokana na uwekezaji wa raia wa nje, either walowezi wa tangia miaka au wa kuja miaka ya karibuni
Africa Wanaoendesha biashara za maana ni Wahindi, Waarabu, Wazungu na weusi wachache
Unaweza kuendelea kuandika essay zako ama ukameza huo uhalisia mchungu
Mzee umeandika essay ndefu sana ambayo ni nadharia na utopia tu
Uhalisia ni kuwa Watu weusi akili hawana, na hivyo Africa inahitaji uwekezaji ili kuendelea, nchi zilizoendelea kidogo huku sub Sahara Africa ni kutokana na uwekezaji wa raia wa nje, either walowezi wa tangia miaka au wa kuja miaka ya karibuni
Nadhani sio makosa yako, either sio mfuatiliaji wa historia kuhusu Africa au una belong kwenye zama za Eugenics ambazo waliamini kwamba akili inatokana na genes na waafrika wote ni inferior
Dunia ya leo ni ya corporations na corporations haziangalii rangi ya ngozi bali zinaangalia wapi zinaweza kupata maximum profits ndio maana kina Apple wana viwanda China na wala hawaangalii nationality ya mtu, by the way unamjua Manka Kankan Mussa aliyekuwa one of the wealthiest man in the world alikuwa race gani ?
kwamba wahindi, waarabu na wazungu hawawezi kuwa waafrica na akili zipo kwenye melanin; au kufanya biashara na kuwa trader ndio akili na all other skills dunia hii ni upumbavu ?
Yaani kukujibu kwako ningeweza kuja na facts na mifano lukuki zaidi ya kurasa elfu moja lakini nikwambie tu unahitaji emancipation kutoka kwenye mental slavery na nikuache na mfano mmoja unajua aliyegundua vaccination alikuwa ni mtumwa mweusi au ufuaji wa vyuma ulikuwepo sehemu nyingi katika bara la Africa hata kabla ya kuvamiwa ? Necessity is the mother of all invention na dunia ya leo unayoweza kufanya copy and paste huitaji kuwa mgunduzi bali mtu wa ku-adapt na kinachoisumbua Africa ni umimi, corruption na watu kama wewe wasiojiamini na kudhani wamelaaniwa hivyo ni watwana wa mabwana ambao ni wazungu....
Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Kwa Sasa sera sio zinazotoa viongozi, bali uongozi unatolewa kwa maagizo ya kundi linalojiita system. Labda yatokee machafuko au mapinduzi ya kijeshi Ili nchi irudi kwenye mstari.
Nadhani sio makosa yako, either sio mfuatiliaji wa historia kuhusu Africa au una belong kwenye zama za Eugenics ambazo waliamini kwamba akili inatokana na genes na waafrika wote ni inferior
Dunia ya leo ni ya corporations na corporations haziangalii rangi ya ngozi bali zinaangalia wapi zinaweza kupata maximum profits ndio maana kina Apple wana viwanda China na wala hawaangalii nationality ya mtu, by the way unamjua Manka Kankan Mussa aliyekuwa one of the wealthiest man in the world alikuwa race gani ?
kwamba wahindi, waarabu na wazungu hawawezi kuwa waafrica na akili zipo kwenye melanin; au kufanya biashara na kuwa trader ndio akili na all other skills dunia hii ni upumbavu ?
Yaani kukujibu kwako ningeweza kuja na facts na mifano lukuki zaidi ya kurasa elfu moja lakini nikwambie tu unahitaji emancipation kutoka kwenye mental slavery na nikuache na mfano mmoja unajua aliyegundua vaccination alikuwa ni mtumwa mweusi au ufuaji wa vyuma ulikuwepo sehemu nyingi katika bara la Africa hata kabla ya kuvamiwa ? Necessity is the mother of all invention na dunia ya leo unayoweza kufanya copy and paste huitaji kuwa mgunduzi bali mtu wa ku-adapt na kinachoisumbua Africa ni umimi, corruption na watu kama wewe wasiojiamini na kudhani wamelaaniwa hivyo ni watwana wa mabwana ambao ni wazungu....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.