Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
WA KWANZA WEWE NA WAPILI CCMKwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Wanyonge ndio hao wanachangishana hela za gari ya makamu Mwenyekiti wakati kule uchagani Mbowe, Lema, Mdee na Bulaya walitoa zaidi ya million 20 kuchangia Gari ya Askofu Shoo na ndani ya Nusu Saa zikapatikana million 400 😂😂Sasa wanyonge itakuaje? 😂😂
Naomba kueleweshwa kuhusu sera ni nini na ninani Huwa anazitengeza Madhumuni yake ni yepiKwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Kwa nini mtu awe mnyonge na aliye/waliosababisha awe mnyonge ni kina nani!??Sasa wanyonge itakuaje? 😂😂
Nakujibu Kwa njia ya mkato maana sera ni somo Pana Sana.Naomba kueleweshwa kuhusu sera ni nini na ninani Huwa anazitengeza Madhumuni yake ni yepi
Kwani Kuna mtu au kundi husababishia mtu kuwa mnyonge? Wanyonge watakoma.Kwa nini mtu awe mnyonge na aliye/waliosababisha awe mnyonge ni kina nani!??
Ujamaa Bado upo Duniani?Nakujibu Kwa njia ya mkato maana sera ni somo Pana Sana.
Chama cha siasa huwa kinakuwa na falsafa inayokiongoza kutafsiri ulimwengu. CCM inaamini maisha ya binadamu yanategemea kundi la watu ili kufanikiwa wakati CHADEMA wanaamini maendeleo yataletwa na mtu binafsi.
Hizo falsafa ndiyo hujenga msingi wa sera. Kwa kuwa CCM huamini maendeleo huletwa na kundi la watu kufanya kazi pamoja wao itikadi yao ni UJAMAA.
Na kwa kuwa CHADEMA wanaamini kuwa maendeleo yataletwa na mtu binafsi, wao itikadi yao ni ubepari.
Sasa hizi itikadi za UJAMAA na UBEPARI ndiyo hutumika kwenye kutengeneza sera. Kila chama hutengeneza sera kwa kufuata Itikadi ya chama husika.
Kwani wanyonge wanatokeaje kwenye jamii ya wasio wanyonge!?Kwani Kuna mtu au kundi husababishia mtu kuwa mnyonge?
Wanyonge real sio hao matapeliWanyonge ndio hao wanachangishana hela za gari ya makamu Mwenyekiti wakati kule uchagani Mbowe, Lema, Mdee na Bulaya walitoa zaidi ya million 20 kuchangia Gari ya Askofu Shoo na ndani ya Nusu Saa zikapatikana million 400 😂😂
Automatically watu walizaliwa wanyonge,jamii ipi hiyo sio wanyonge?Kwani wanyonge wanatokeaje kwenye jamii ya wasio wanyonge!?
Sasa unauliza nini chama ni ccm tu hivyo vingine malengo ruzuku!Kwa bahati mbaya Afrika umaskini, maradhi na ujinga ni mkubwa kiasi kwamba waafrika tumeachwa hoi tumetopea kwenye ugiligili wa shida zetu hata kushindwa kuwa na vipaumbele vyetu.
Mwaka huu kutakuwa na uchaguzi wa Serikali za mitaa na mwakani uchaguzi wa madiwani, wabunge na Rais.
Hivi mpaka Sasa kama watanzania tumeshajua ni chama gani kina sera nzuri za kutatua matatizo yetu tuliyonayo kwa kupambana na maadui zetu watatu Ujinga, Maradhi na Umaskini!?
Kinadharia bado upo pale unapopingana na Marekani.Ujamaa Bado upo Duniani?
Unyonge ni Falsafa ya Kiroho yaani watu walioumizwa na kukata tamaaWanyonge real sio hao matapeli
Kila jamii ina maskini ila siyo Kila jamii Ina wanyonge.Automatically watu walizaliwa wanyonge,jamii ipi hiyo sio wanyonge?
Ndio, kwa Tanzania vyama havina sera ni maamuzi ya mtu mmoja, hata Upinzani ni hivyo hivyo,Kwamba kuna Sera za Magufuli, Samia na Tundu Lissu ? Tupo enzi za Ufalme au demokrasia ya vyama vingi ? In short unachosema hivi vyama havina Sera bali maamuzi ya kiongozi ataamka vipi
Na huku so called kufungulia nchi madhara yake yatalitafuna vizazi mpaka vizazi..., huitaji kubembeleza watu waje kuchuma resources bali wao ndio wakubembeleze ukishaonekana weak kwenda negotiations utaishia kugawa kila kitu (unless kama unanufaika katika ugawaji AKA 10%) Na on paper hizo privatization ni more of CHADEMA kuliko CCM
Nimeuliza pia Madhumuni ya sera, hua nasikia kuna sera ambazo hazina muelekeoNakujibu Kwa njia ya mkato maana sera ni somo Pana Sana.
Chama cha siasa huwa kinakuwa na falsafa inayokiongoza kutafsiri ulimwengu. CCM inaamini maisha ya binadamu yanategemea kundi la watu ili kufanikiwa wakati CHADEMA wanaamini maendeleo yataletwa na mtu binafsi.
Hizo falsafa ndiyo hujenga msingi wa sera. Kwa kuwa CCM huamini maendeleo huletwa na kundi la watu kufanya kazi pamoja wao itikadi yao ni UJAMAA.
Na kwa kuwa CHADEMA wanaamini kuwa maendeleo yataletwa na mtu binafsi, wao itikadi yao ni ubepari.
Sasa hizi itikadi za UJAMAA na UBEPARI ndiyo hutumika kwenye kutengeneza sera. Kila chama hutengeneza sera kwa kufuata Itikadi ya chama husika.
Madhumuni ya sera ni kuweka msingi Kwa "Ilani ya Uchaguzi" ambayo ni mpango wa kutekeleza sera.Nimeuliza pia Madhumuni ya sera
Kwanini hutengenezwa sera ambazo hazina muelekeo yaani sera ambazo hazina tija je wabunge huwa wanayajua madhara ya sera wanazo zipitisha? Kwa hapo baadae, (the aftermath of policies approved)Madhumuni ya sera ni kuweka msingi Kwa "Ilani ya Uchaguzi" ambayo ni mpango wa kutekeleza sera.
Sera ipo ili mipango yote ya nchi ifanane na falsafa ya chama husika.
Nani anagandamizwa Sasa? Wanyonge hutoka kwenye kundi la maskini na lazima walindweKila jamii ina maskini ila siyo Kila jamii Ina wanyonge.
Wanyonge ni zao la kugandamizwa. Kila penye wanyonge jua kuna ugandamizaji wa haki za binadamu.
Ule msemo wa "mnyonge mnyongeni, ila haki yake mpenzi" unasawiri hoja yangu.