CHAMA hana msaada tena kwa timu ya Simba

Tena Andazi la 100 kabisa
 
Ataingia Yanga kama kocha ni wewe
 
Ataingia Yanga kama kocha ni wewe
Kwa timu ambayo haitumii nguvu na kukamia Kama Simba hii, basi chama ni mchezaji mwenye nafasi kubwa na anakupa 85_90% ya utulivu wa timu huku mipango ikiwa sahihi eneo la ushambuliaji!. Huyu Benchikha anawadanganya na nguvu za soda za pira mbio za mwenge 😅😅 kufika may mtamkataa.... HAKUNA mwenye akili timamu akakubali chama akae benchi mbele ya onana au Ntibazokiza....!!
 
Kwahiyo una msonda, mzize,moloko, Azizi unaweza kuweka benchi chama kabisa🤭🤭 heshim mpira Basi asee.
Nikuulize Chama anacheza Namba ya Msonda au mzize au unaangalia tu wachezaji 11?
Mpira unachezwa kwa namba na sio watu 11 tu ili mradi
 
Nikuulize Chama anacheza Namba ya Msonda au mzize au unaangalia tu wachezaji 11?
Mpira unachezwa kwa namba na sio watu 11 tu ili mradi
Msonda kiungo mshambuliaji sawa na chama, mzize hata kama ancheza namba 9 kukiwa na chama atacheza yeye!. Kiufupi hawawezi kumuweka benchi chama Kamwe.
 
Kwangu mimi naona Chama bado ni msaada sana kwa Simba kwani akili zake za mpira bado zinahitajika sana uwanjani kubadilisha matokeo japo mwili taratibu umeanza kukataa. Kwa umri wa Chama ulipofika na dakika anazopewa uwanjani ni sahihi kabisa na kwa hili kocha apongezwe.

Hii ya kulazimisha Chama acheze dakika nyingi kama ilivyokuwa miaka tatu nyuma ni kutaka Chama apotee mazima mapema kama alivyolazimishwa Boko awe anacheza dakika nyingi uwanjani wakati umri umeenda matokeo yake Boko sasa ameanza kupotea mazima. Kwa viongozi wa Simba inatakiwa watafute mbadala wa Chama haraka kwani wamechelewa ilitakiwa ameshaptikana toka msimu ulioisha.
 
Na vipi kuhusu Kibu Denis?
 

Na hata katika Timu ya Taifa Zambia huwa anaingia sub tena ya karibu mpira unaelekea kumalizika! Kocha Avram Grant hawezi kumuingiza kwenye first 11 hata siku moja!
 
Mbona unaongea kama alifanya hisani vile?
Ni wajibu sio msaada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…