Chama hiki kimekufa rasmi baada ya kujiingiza kwenye mbinu za kigaidi kuisaka Ikulu

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
 
Amanzi bila haki huwa haipo kabisa

Vipi walioua wamefanya vyema tu sio?
 
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Naona umeanza mandalizi ya kuwabambikia kesi za uongo kama kawaida yako, lakini kaa ukijua hakuna mabaya yasiyo na mwisho, Mahakama ya uhalifu ICCThe Hague inawachunguza lazima mkono wa sheria uwandame
 
Unakumbuka Lowassa aliwaambia nini wakati anaingia Chadema?
 
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Ila wewe jamaa Mungu atakulipa kulingana na matendo yako. Huwezi kuwa muovu kiasi hiki
 
Muovu ni wewe uliyehamasisha biashara za watu zikachomwa
 
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.

Umetumia mafumbo
Ila nikuambiwe ukweli maneno haya ni Kwa Ccm kabisa.
Mbinu walizotumia kurudi Ikulu ndo mwisho wao

Ni vile ukishamwaga damu za watu unapoteza utimamu wa akili huwezi kuelewa Tena sawasawa
 
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Ambacho hamkijui ninyi ni kwamba kadri mnavyo hangaika na chadema ndivyo mnavyo zidi kuipa airtime, ndio maana wakifanya mkutano mmoja tuu hata baada ya miaka 10 ni sawa na mikutano zaidi ya 70 ya CCM
 
Hii chadema ya sasa itapata wafuasi wengi kuliko nyakati zote. Viongozi wa juu wa CDM hawana TIN number na hii inawaumiza majambazi wa kijani.
 
Muovu ni wewe uliyehamasisha biashara za watu zikachomwa
Jingalao kipindi cha Magu ulikuwa chawa promax wa Magu. Magu alipofariki uliendelea kuwa chawa wake hadi ulipohamia kwa Samia nadhani baada ya kuona maslahi yako yapo mashakani. Tunaokufahamu hapa JF wala hutupi shida maana tunakujua ulivyo mchumia tumbo promax. Ila kumbuka mwisho wako ni mbaya sana
 
Haya maamdamano yalikuwa organised na Mange Kimambi Maria Sarungi Rachel Dangwa acheni kuoonea CHADEMA.
 
Bora hata viongozi wa Chadema wangekua Uraiani wangepata cha kusingizia ila Mungu kawaumbua viongozi wa Chadema wote wako jela aya Gen Z tu imewatoa jasho
 
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.

Propaganda Uchwara hizo. PAKA WA LUMUMBA rudini darasani kujifunza Propaganda upya.
 
JF inakuwa na wanafiki kiasi hiki why?
Siyo unafiki,ni ukweli,fungua macho,jali nchi,chama kinashirikiana na wakenya,wamewashika waandishi wa aljazeera na BBC kuandika ripoti zenye nusu ukweli nusu uwongo
Malcom webb wa aljazeera ripoti zake zinadai chadema na act kimezuiwa kufanya uchaguzi,hili ni kweli?..ripota wa kenya BBC anadai internet na calls za kawaida zimezuiwa,hii ni kweli simu hatukupiga hizi siku tano?..eti nchi nzima umemw ulikatwa,lini!?
Akina Amsterdam kutwa kuichafua nchi kupitia lissu
Mwisho no reforms no election,na wakadai watakinukisha pasikalike,hayajatikea!?
Hao wafutwe, general muhoozi japo ana shida zake,lakini kasema kirusi cha kenya kimeingia tz,si uwongo
 
waliochoma mali za watu ni wema sana kwa akili yako?
Kuna Mali unaweza pewa ukufidia uhai wa binadamu mfano upewe kituo cha mafuta alafu baba yako auwawe utakubali?
 
Ngoja nikueleze ewe malaya...mimi naijua CCM kuliko wewe...ni hivi hili jambo limewapagawisha sana...
Na sasa si suala la CCM au Chadema...
Sema huna akili huwezi kujua...
Sasa hivi ni suala la wenye nchi yao dhidi ya CCM na serikali yake particularly vyombo vya ulinzi na usalama hasa polisi.
Kwaheri!
 
Back
Top Bottom