Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Kazi kweli kweli. Kwa hiyo uroho wa madaraka umeuona kwenye hiko chama tu? Je chama kilichoshinda kwa asilimia 97.66% wenyewe ni malaika hawana uroho wa madaraka!? Daah