Huyo si Mnafiki, ni kakijana kamoja kajinga jinga kafukara ka kutupa, kula kulala ,anayeamin akifanya hivo huenda Maisha yakamnyookea .JF inakuwa na wanafiki kiasi hiki why?
Amanzi bila haki huwa haipo kabisaKimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Naona umeanza mandalizi ya kuwabambikia kesi za uongo kama kawaida yako, lakini kaa ukijua hakuna mabaya yasiyo na mwisho, Mahakama ya uhalifu ICCThe Hague inawachunguza lazima mkono wa sheria uwandameKimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Unakumbuka Lowassa aliwaambia nini wakati anaingia Chadema?Naona umeanza mandalizi ya kuwabambikia kesi za uongo kama kawaida yako, lakini kaa ukijua hakuna mabaya yasiyo na mwisho, Mahakama ya uhalifu ICCThe Hague inawachunguza lazima mkono wa sheria uwandame
Ila wewe jamaa Mungu atakulipa kulingana na matendo yako. Huwezi kuwa muovu kiasi hikiKimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.

Ambacho hamkijui ninyi ni kwamba kadri mnavyo hangaika na chadema ndivyo mnavyo zidi kuipa airtime, ndio maana wakifanya mkutano mmoja tuu hata baada ya miaka 10 ni sawa na mikutano zaidi ya 70 ya CCMKimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Jingalao kipindi cha Magu ulikuwa chawa promax wa Magu. Magu alipofariki uliendelea kuwa chawa wake hadi ulipohamia kwa Samia nadhani baada ya kuona maslahi yako yapo mashakani. Tunaokufahamu hapa JF wala hutupi shida maana tunakujua ulivyo mchumia tumbo promax. Ila kumbuka mwisho wako ni mbaya sanaMuovu ni wewe uliyehamasisha biashara za watu zikachomwa
Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Siyo unafiki,ni ukweli,fungua macho,jali nchi,chama kinashirikiana na wakenya,wamewashika waandishi wa aljazeera na BBC kuandika ripoti zenye nusu ukweli nusu uwongoJF inakuwa na wanafiki kiasi hiki why?
Kuna Mali unaweza pewa ukufidia uhai wa binadamu mfano upewe kituo cha mafuta alafu baba yako auwawe utakubali?waliochoma mali za watu ni wema sana kwa akili yako?