Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Hakainde Hichilema aligombea Urais wa Zambia kwa miaka 18, lakini anasema hakufikia kuwaambia Wazambia waiharibu nchi yao. Kwakuwa alikuwa na dhamira njema juu ya nchi yake M/Mungu akamsaidia sasa hivi ndoto yake imetimia.Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Hata sijakuelewa umeandika nini?Siyo unafiki,ni ukweli,fungua macho,jali nchi,chama kinashirikiana na wakenya,wamewashika waandishi wa aljazeera na BBC kuandika ripoti zenye nusu ukweli nusu uwongo
Malcom webb wa aljazeera ripoti zake zinadai chadema na act kimezuiwa kufanya uchaguzi,hili ni kweli?..ripota wa kenya BBC anadai internet na calls za kawaida zimezuiwa,hii ni kweli simu hatukupiga hizi siku tano?..eti nchi nzima umemw ulikatwa,lini!?
Akina Amsterdam kutwa kuichafua nchi kupitia lissu
Mwisho no reforms no election,na wakadai watakinukisha pasikalike,hayajatikea!?
Hao wafutwe, general muhoozi japo ana shida zake,lakini kasema kirusi cha kenya kimeingia tz,si uwongo
Ugaidi maana yake nini?Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Nilijua unakizungumzia CCM ya awamu ya sita. Mbinu wanazozitumia chini ya genge la Samia ni za kigaidi, kimafia, ubabe, terrorising Watanzania ili kufisadi nchi.Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Wakati nikisimama na Magufuli hamkuelewa.Jingalao kipindi cha Magu ulikuwa chawa promax wa Magu. Magu alipofariki uliendelea kuwa chawa wake hadi ulipohamia kwa Samia nadhani baada ya kuona maslahi yako yapo mashakani. Tunaokufahamu hapa JF wala hutupi shida maana tunakujua ulivyo mchumia tumbo promax. Ila kumbuka mwisho wako ni mbaya sana
Ningeunga mkono ujinga ungeelewaHata sijakuelewa umeandika nini?
Ulishakosa hata aibu na utu kisa hilo tumbo lako. Unaongea Magu kutetea rasilimali za taifa ila umehamia kwa huyu ambaye anauza rasilimali za taifa kisa ushibishe tumbo lako. Wenzako wote waliokuwa upande wa Magu waliachana na “huyu” baada ya kuona anauza rasilimali za taifa. Wenzako wakina Motochini, bia yetu, Simiyu yetu, stroke etc waliamua kukaa pembeni baada ya kuona huyu unayemtetea analipeleka taifa shimoni. Ila wewe kwa sababu unatetea tumbo lako ulihamia kwa “huyu” ili kulinda tumbo lako. Narudia kukukumbusha tena “Mwisho wako utakuwa mbaya sana”Wakati nikisimama na Magufuli hamkuelewa.
Huwa siungi mkono wasaliti wa Taifa na vibaraka wa mabeberu.
Mlimtukana sana Magufuli kwa kulinda rasilimali zetu sasa hivi mmehamia kwa Samia.
Simama na Taifa lako sio vibaraka wa mabeberu
Hakitakufa kamwe... nanyi mnajua tangu 2015 mmeshindwa kukiua.Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Ccm Imeshughulika na shida za wananchi ndio maana mkataka kuharibu uchaguziHakitakufa kamwe... nanyi mnajua tangu 2015 mmeshindwa kukiua.
CCM mngeamua tu kushughulika na shida za wananchi mbona mngependwa tu na wananchi.
Tatizo lenu mmeendekeza sana wizi na ufisadi...
I beg to differ. Mada yako inamaanisha CHADEMA imekufa. Mbona kwenye 'uchaguzi' huu chama hicho wala hakikuwemo kwenye kinyang'anyio? Badala yake, CCM ndiyo naiona kuelekea kwenye kaburi kwa kulazimisha kubakia kwenye madaraka, kwa kuua raia wakati wanatangaza Rais mteule anapendwa na asilimia 98 ya wananchi lakini mteule huyo huyo anawaogopa wananchi wanaompenda kiasi hicho, mpaka hawezi hata kuapishwa hadharani mbele ya raia wanaompenda hivyo.Kimepoteza muelekeo baada ya kuingia kwenye mtego wa kutumiwa kama chama cha uhanaharakati na ugaidi dhidi ya Serikali.
Iwapo kingejikita na dhana ya kujijenga na ushawishi wa seta mbadala basi ipo siku kingechukua dola.
Uroho wa madaraka umekifanya kuonekana kuwa chama mamluki na hatarishi kwa amani ya nchi.
The chapter is closed.
Hujui lolote wewe ni fala mmoja tu Maskini mafia chama.Ccm Imeshughulika na shida za wananchi ndio maana mkataka kuharibu uchaguzi
Wanajulikana kama vichambio vya bi mashavuJF inakuwa na wanafiki kiasi hiki why?