Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule striker bwege Freddy Funga funga tungefika mbali kidogo, KMC ina kocha WA zamani wa Adam, Ina wachezaji weng wa Azam walio kwa mkopo, Simba waliangalie hili, wamewekewa mzigo pia wakitoa sare, kucheza na KMC ukiwa na akina Bakua na Jobe humfungi mtoto wa mjini