Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Mkuu hiyo mechi ni ngumu kweli siyo utani kulingana na Simba ya sasa..Ondoa hofu, kuna penati mbili na kuna kadi nyekundu kwanzia first half. Hivyo waamuzi watamaliza huo ugumu. Azam kapigwa bila hao wakina Chama tena chuma tatu sembuse KMC?
Hakuna ugumu wowote, TFF na serikali ipo na Simba ili mradi ifanikiwe kucheza klabu bingwa. Mechi ya jana ndio iliyokuwa ngumu kwavile Geita hawakutaka kushuka daraja. Ila ukombozi ukapatikanaMkuu hiyo mechi ni ngumu kweli siyo utani kulingana na Simba ya sasa..
Heeheeeeeeeee..... hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hahahaha. hahaaaaaaaaaaaaMichi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule striker bwege Freddy Funga funga tungefika mbali kidogo, KMC ina kocha WA zamani wa Adam, Ina wachezaji weng wa Azam walio kwa mkopo, Simba waliangalie hili, wamewekewa mzigo pia wakitoa sare, kucheza na KMC ukiwa na akina Bakua na Jobe humfungi mtoto wa mjini
Kwani MCHAWI wa Simba wa MSIMBAZI GENTAMYCINE anasemaje?Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule striker bwege Freddy Funga funga tungefika mbali kidogo, KMC ina kocha WA zamani wa Adam, Ina wachezaji weng wa Azam walio kwa mkopo, Simba waliangalie hili, wamewekewa mzigo pia wakitoa sare, kucheza na KMC ukiwa na akina Bakua na Jobe humfungi mtoto wa mjini
Hio Mechi ni lini lo??