Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

Ritz

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Posts
57,035
Reaction score
46,479
Wanaukumbi.

Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.

Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.

CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.

Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
 
Wakati uko jela wenzako walikuwa wanasema NCCR ya Mbatia itakuwa chama kikuu cha upinzani. NCCR inaonekana waliingizwa mjini na ccm kama walivyoingizwa CUF. Cdm kama chama hakipambanii kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinapambana kukamata dola. Hoja kwa sasa ni tume huru ya uchaguzi, na sio nani atakuwa chama kikuu cha upinzani.
 
CHADEMA wanakwamishwa na kuuliwa na MWENYEKITI WAO WA KUDUMU na UKANDA.Na wameshachelewa kulisolve hili
 
Wakati uko jela wenzako walikuwa wanasema NCCR ya Mbatia itakuwa chama kikuu cha upinzani. NCCR inaonekana waliingizwa mjini na ccm kama walivyoingizwa CUF. Cdm kama chama hakipambanii kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinapambana kukamata dola. Hoja kwa sasa ni tume huru ya uchaguzi, na sio nani atakuwa chama kikuu cha upinzani.
Ukweli ni mgumu kuupokea
 
CHADEMA na ACT wanaunguna na mgombea wa Uraisi ni Tundu Lissu,mkimfanyia figisu anasimamishwa Membe,ukisima nchale ukikaa nchale. Mwaka CCM ndiyo kinakuwa chama kikuu cha upinzani.
 
Wanaukumbi.

Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.

Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.

CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.

Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
Ukwel i wa mm ko
 
CHADEMA hawana neno, wanaweza kuwachukuwa tena. Ama unasemaje? Wanasiasa wote ni kama malay* tu. Bora uwe na pesa tu. Kwani mpaka muda huu haujawaelewa tu?
maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni.
 
Wanaukumbi.

Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.

Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.

CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.

Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.

Hoja dhaifu sana hii, ACT hawana mtandao wa wanachama wala mashabiki zaidi ya press conference za Zitto kuwabeba. hao watu wa kuwapigia kura wanatoka wapi?
Nadhani ungesubiri lissu ashuke kwanza na campaign zianze ndo utapima hiki unachokiongea
 
Wanaukumbi.

Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.

Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.

CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.

Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
Kwa hofu uliyonayo tu juu ya Chadema inaonesha Chadema kinaenda sio tu Chama kikuu cha upinzani Bali ni Chama Tawala
 
Mm napenda sana ushindani kinzani lkn kwa hali ilivyo na jinsi upepo unavyoenda kwa kweli CDM wanapaswa kujitafakari kwa kina ni wapi walipodondokea.Ukweli hali SI swali na hili liko wazi Wala tusidanganyane kabisa.Kijengeni chama kwa kuondoa vibanzi vyote vilivyopo ndani ya chama vinginevyo nakiona chama kinaenda kusambaratika indefinitely.
 
chadema sio chama kibaya ila kubanwa kwenye awamu hii ndo kumekipiga mapigo mengi, unadhani km wasingebanwa silinde au lijualikali wangehama. Hofu uliyonayo ww ndo hao wabunge niliowataja walikuwa nayo, walijua kubaki cdm ni kuuweka ubunge wao rehani. kumbe ndo walikuwa wanajifumbukiza shimoni. mimi bado naamini silinde au lijualikali wangebaki cdm wangegombea na wangeshinda
 
Wanaukumbi.

Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.

Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.

CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.

Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
Siasa za kidemokrasia zimekufa siku hizi na utashangaa watu wanajisifia wameshinda kwa kishindo.
 
Back
Top Bottom