Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

Chama Kikuu cha Upinzani ni ACT Wazalendo, CHADEMA, mnakwama wapi?

Mm napenda sana ushindani kinzani lkn kwa hali ilivyo na jinsi upepo unavyoenda kwa kweli CDM wanapaswa kujitafakari kwa kina ni wapi walipodondokea.Ukweli hali SI swali na hili liko wazi Wala tusidanganyane kabisa.Kijengeni chama kwa kuondoa vibanzi vyote vilivyopo ndani ya chama vinginevyo nakiona chama kinaenda kusambaratika indefinitely.
Wewe ni nani ukitabirie Chadema kifo na itimie?? Alikitabiria Kada wenu Wassira ameishia kufa yeye kisiasa.

Nakwambia ndugu yangu, Chadema iko mioyoni ya watanzania. Chadema ni ukweli, Chadema ni haki, Chadema ni maendeleo ya watu na vitu. Dunia haiwezi isha watu wanaopenda kweli, haki na maendeleo ya watu na vitu katika ukwelI.

Chadema haiwezi kuishiwa ushawishi, kilichofanyika ni kitendo cha kuwatisha watanzania kujitokeza waziwazi kisiasa kwa uhuru hivyo kupelekea watu wabaki na kweli yao moyoni. Na ogopa sana mtu anaekuwekea ukweli wake moyoni. Muulize kada wenu Makonda atakwambia
 
Hii speed uliyorudi nayo ni ya kichovu sana.
Jamani humu ndani wakati mwingine tuwe wakweli tu lkn tukitegemea kupakana mafuta ya mgongo haisaidii wakati historian inakwenda kuandikwa.wengi humu ndani wako kihisia kuwa ukisema ukweli labda ni wa kijani hapana wengine tuko hapa kuelezana ukweli ili hatua madhubuti zichukuliwe ku rescue situation lkn tukifarijiana tunajidanganya wenyewe.Ni vzr tuwe wakweli na ukweli utatuweka huru.
 
chadema sio chama kibaya ila kubanwa kwenye awamu hii ndo kumekipiga mapigo mengi, unadhani km wasingebanwa silinde au lijualikali wangehama. Hofu uliyonayo ww ndo hao wabunge niliowataja walikuwa nayo, walijua kubaki cdm ni kuuweka ubunge wao rehani. kumbe ndo walikuwa wanajifumbukiza shimoni. mimi bado naamini silinde au lijualikali wangebaki cdm wangegombea na wangeshinda
Kumbe ndo opposite yani ccm bilamkujua imeijenga chadema
 
Back
Top Bottom