Ukweli ni mgumu kuupokeaWakati uko jela wenzako walikuwa wanasema NCCR ya Mbatia itakuwa chama kikuu cha upinzani. NCCR inaonekana waliingizwa mjini na ccm kama walivyoingizwa CUF. Cdm kama chama hakipambanii kuwa chama kikuu cha upinzani, bali kinapambana kukamata dola. Hoja kwa sasa ni tume huru ya uchaguzi, na sio nani atakuwa chama kikuu cha upinzani.
Ukwel i wa mm koWanaukumbi.
Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.
Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.
CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.
Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni.
Wanaukumbi.
Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.
Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.
CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.
Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
Kwa hofu uliyonayo tu juu ya Chadema inaonesha Chadema kinaenda sio tu Chama kikuu cha upinzani Bali ni Chama TawalaWanaukumbi.
Hii habari itakuwa ngumu sana kuisikia au kuikubali kwa wafuasi wa CHADEMA lakini huo ndiyo ukweli.
Chama ACT Wazalendo, kinaonekana kinakuja kuwa chama Kikuu cha Upinzani Tanzania ukiangalia mipango yao dhahiri inaonekana, Kwanza wana uhakika wa kupata viti vingi vya Ubunge Zanzibar na pia kupata kura nyingi za urais.
CHADEMA mpaka sasa hivi hawajajua njia ipi ya kupita ili angalao wapate viti vya Ubunge, maeneo mengi ambayo walikuwa wameshinda wabunge wake wamerudi CCM kugombea na kushindwa kwenye kura za maoni. Pia wabunge wengine kurudi bungeni ni ngumu sana.
Huu ndiyo ukweli najua pro-CHADEMA mtanishambulia lakini huu ndiyo ukweli.
Mm napenda sana ushindani kinzani lkn kwa hali ilivyo na jinsi upepo unavyoenda kwa kweli CDM wanapaswa kujitafakari kwa kina ni wapi walipodondokea.Ukweli hali SI swali na hili liko wazi Wala tusidanganyane kabisa.Kijengeni chama kwa kuondoa vibanzi vyote vilivyopo ndani ya chama vinginevyo nakiona chama kinaenda kusambaratika indefinitely.Kwa hofu uliyonayo tu juu ya Chadema inaonesha Chadema kinaenda sio tu Chama kikuu cha upinzani Bali ni Chama Tawala
Mm napenda sana ushindani kinzani lkn kwa hali ilivyo na jinsi upepo unavyoenda kwa kweli CDM wanapaswa kujitafakari kwa kina ni wapi walipodondokea.Ukweli hali SI swali na hili liko wazi Wala tusidanganyane kabisa.Kijengeni chama kwa kuondoa vibanzi vyote vilivyopo ndani ya chama vinginevyo nakiona chama kinaenda kusambaratika indefinitely.
Siasa za kidemokrasia zimekufa siku hizi na utashangaa watu wanajisifia wameshinda kwa kishindo.Wanaukumbi.