chadema sio chama kibaya ila kubanwa kwenye awamu hii ndo kumekipiga mapigo mengi, unadhani km wasingebanwa silinde au lijualikali wangehama. Hofu uliyonayo ww ndo hao wabunge niliowataja walikuwa nayo, walijua kubaki cdm ni kuuweka ubunge wao rehani. kumbe ndo walikuwa wanajifumbukiza shimoni. mimi bado naamini silinde au lijualikali wangebaki cdm wangegombea na wangeshinda