Soma vizuri uelewe mkuu utanishukuru sana. Leo hii baada ya kuifuta Muslim Brotherhood huku Misri mambo yamekua mazuri sana hamna tena kuana kwa misingi ya kidini nk. CHADEMA imeisha kiuka misingi ya Taifa na misingi ya kuanzishwa kwake ... utanielewa tuWewe ni mjinga.
Kukifuta Cdm sio kuondoa imani ya wananchi kwenye mabadiliko. Ccm yenyewe hiyo inashirikiana na mataifa mengine kutuvuruga na huoni !!.
Cdm imetaka mazungumzo na serikali muda mrefu. Lakini watawala hawataki mazungumzo. Wanazungusha, Cdm wafanyeJe sasa zaidi ya kuwaambia wanaowavimbisha vichwa na vi mikopo
Kwa nini mpewe misaada?Leo Muslim Brotherhood imepukutika... Sema ni kwakua utawala wetu una upendo na huruma sana. CHAMA KINACHODIRKI KUISEMA NCHI KUA AIFAI NA IFUNGIWE MISAADA AU KUSHIRIKIANA NAYO HICHO CHAMA NI ADUI YA WATANZANIA SOTE.
Rubbish...Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Kwenda zako hukoTunaweza na ndiyo tunapigania mkuu.. kumbuka nchi yetu ni changa sana
Nini tofauti ya akili na ubongo? Je kimoja kinaweza kuwepo bila kingine?Tunawaza kwa kutumia akili zetu sana kuliko wale wanaotumia ubongo ndugu yangu Mshana
Tumia muda usome vizuri, lini CCM iliwai kushirikiana au kushauri nchi au vyama marafiki wa CHADEMA kua wasiwape ushirikiano,wasiwape pesa wa utaalam wa jinsi ya kuendesha chama chao? KARIBUNyinyi ndio mnafanya CCM ionekane nikusanyiko la Matahira .
Kwan Serikali hii haishirikiani na Ulaya ??
Hizi ni hisia na mihemko.. Nchi yetu imekua huru 1961 sasa unaweza kuiringanisha na USA ambayo imekua huru miaka ya 1776Kwenda zako huko
Nchi ina miaka 64 ni changa??
Tatizo ni viongoz wabinafsi
Walafi wahuni wanalamba asali
Kila akiingia ana chukua chake mapema
Poor vision
Mbona unaituhumu Cdm kwa mambo inayoyafanya ccm na serikali yake ?!.Hapana anaeumia ni yule anaeona CHADEMA ikihamasisha nchi marafiki kuiona Tanzania aifai wala hamna Demokrasia. Sitofautishi Lissu na wenzake wa sasa kama akina Mobutu na wenzake waliofanya mbinu ili Patrice Lumumba auwawe kusudi waingie madarakani na kuuza migodi kwa hao mabwanyenye.
Utawala gani huo unaosema una upendo na huruma? Huu wa CCM????????Leo Muslim Brotherhood imepukutika... Sema ni kwakua utawala wetu una upendo na huruma sana. CHAMA KINACHODIRKI KUISEMA NCHI KUA AIFAI NA IFUNGIWE MISAADA AU KUSHIRIKIANA NAYO HICHO CHAMA NI ADUI YA WATANZANIA SOTE.
Sasa mkuu umeanza stori za kacholi na ghahwa. Mbuga ,Misitu au Bandari gani imeuzwa?Mbona unaituhumu Cdm kwa mambo inayoyafanya ccm na serikali yake ?!.
Je waliouza migodi, mbuga za wanyama wetu, misitu na hata bandari zetu kwa mabwanyenye ni Cdm au Ccm ?!
Akili ni nazo ndiyo maana natumia muda kukuonesha ukweli. Hapo ulipo kwenye keyboard umekunywa chai na mchana unasuburi lunch alafu mwisho wa mwezi mshahara ila uwezi kujua mchango wa CCM au serikali kwenye ilo. Pole sanaUtawala gani huo unaosema una upendo na huruma? Huu wa CCM????????
AKILI UNAZO KWELI WEWE?
Serikali inayotegemea misaada ya wazungu Ulaya kwenye bajeti na miradi ya Maendeleo wakati Ina rasilimali na mail asili za kutosha ndiyo inatakiwa kufutwa na wanainchi!!π π π€π€Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Still nasema wewe ni wa hovyo. Ama una upumbavu mwingi sana.Serikali inashirikiana na hizo nchi kwa mazuri kama ulivyosema mwenyewe nasio kuleta taharuki,vurugu nk. CHADEMA MUST BE TREATED LIKE MUSLIM BROTHERHOOD