Bhikalamba
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 2,341
- 3,367
CCM ndo wanaoharibu amani nadhani wao ndo wanastahili kufutwa. Tendeni haki acheni ngonjera na uchawaMoja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Wewe ni bwege kama bwege tu hayo mataifa yanatoa pesa zao kwa ajili ya chaguzi zetu mbalimbali na mikopo misaada unataka wasione kama pesa zao hazitumiki kwenye malengo husika?Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Michael Gahler mbunge wa bunge la Ulaya ambaye video yake inatembea mitandaoni anatoka katika lile kundi la wanaounga mkono ushoga, masuala ya LGBTQ.Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Wewe hiyo demokrasia umeziona?Hapana anaeumia ni yule anaeona CHADEMA ikihamasisha nchi marafiki kuiona Tanzania aifai wala hamna Demokrasia. Sitofautishi Lissu na wenzake wa sasa kama akina Mobutu na wenzake waliofanya mbinu ili Patrice Lumumba auwawe kusudi waingie madarakani na kuuza migodi kwa hao mabwanyenye.
Wao kutoa pesa haina maana sisi tuwe watumwa wa kudumu wa hulka ambazo hatuziungi mkono.Wewe ni bwege kama bwege tu hayo mataifa yanatoa pesa zao kwa ajili ya chaguzi zetu mbalimbali na mikopo misaada unataka wasione kama pesa zao hazitumiki kwenye malengo husika?
Lissu ndio mkombozi wa nyumbu,mara Gwajima na sasa hivi mmegeukia kwa polepoleHivi sometimes mnawaza kwa kutumia nini?
Mara ngapi CCM Kwa kutumia serikali ovu imezuia fedha za msaada Kwa vyama pinzani?Tumia muda usome vizuri, lini CCM iliwai kushirikiana au kushauri nchi au vyama marafiki wa CHADEMA kua wasiwape ushirikiano,wasiwape pesa wa utaalam wa jinsi ya kuendesha chama chao? KARIBU
Moja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Muslim brotherhood na chadema si wakuweka sehem moja, very different in ideologiesSoma vizuri uelewe mkuu utanishukuru sana. Leo hii baada ya kuifuta Muslim Brotherhood huku Misri mambo yamekua mazuri sana hamna tena kuana kwa misingi ya kidini nk. CHADEMA imeisha kiuka misingi ya Taifa na misingi ya kuanzishwa kwake ... utanielewa tu
Well according to publick information za bunge la ulaya no such info kwamba ni LGBTQMichael Gahler mbunge wa bunge la Ulaya ambaye video yake inatembea mitandaoni anatoka katika lile kundi la wanaounga mkono ushoga, masuala ya LGBTQ.
Huyo anamtetea Tundu Lissu kimataifa, serikali yetu inapokaa kimya inatafakari mambo mengi kwa wakati mmoja.
Wanawaza kwa kutumia m...kalio! Ndio mafisiemu!Hivi sometimes mnawaza kwa kutumia nini?
Ninao uhakika huyo waziri ni kundi la mashoga, hujui vyanzo vyangu vya taarifa ni vipi hivyo usinipangie cha kuandika.Well according to publick information za bunge la ulaya no such info kwamba ni LGBTQ
Na si yoyote anamtetea lissu ni wa huko, plus pernal relation ya watu haina relation to kazi wanazofanya, professional life ya mbunge wa ulaya na his personal life dont collude
So next time get corrent info
Basi hufaham vizuri, si kundi moja na ideology tofauti kabisa. Kasome tena politics za Egypt ueleweNi kundi moja tofauti ni majina
Lini uliwai kusikia CCM ikiwaasa vyama rafiki wa CHADEMA kua wasiipe ushirikiano ,wasitoe pesa nk? CHADEMA inasema nchi hizo zifute urafiki,ushirikiano na kuiwekea vikwazo Tanzania. Unafikiri ili ni sawa?Kwani ccm haina marafiki?
Kwenye mkutano mkuu wa CCM hukuona Wageni kutoka nje ya inchi wamekuja Kwenye mkutano wenu?
Basi na nyie chama chenu kifutwe
Uchawa ukizidi huwa unakuwa UchawiMoja kwa moja kwenye mada
Kila mtanzania anajuafiki kua amani yetu ni tunu kubwa na muhimu katika kuleta ustawi wa jamii. Inapotokea kua kuna kundi au chama cha siasa kinajaribu kushirikiana na kushinikiza nchi marafiki kuona Tanzania aifai basi kundi ilo au chama hicho inabidi kipigwe marufuku nchini. Tunakumbuka wakati wa JPM wenzangu waliwai kuomba ata na kupanga safari kwenda nchi mbali mbali huku Ulaya wakiziomba nchi hizo kuinyima Tanzania misaada na ushirikiano.
Leo tukiwa tunaelekea kwenye uchaguzi ni kundi ilo ilo linashauri nchi hizo hizo zisitishe urafiki kwa Tanzania.Zisitishe misaada na mambo mengine kwa Tanzania kisa kundi ilo linataka mabadiliko flani kwenye mchakato wa uchaguzi.
Kundi au chama hicho kiliamua chenyewe kutoshiriki uchaguzi ata kabla ya mchakato wa uchaguzi kuanza.... Nchi Misri kilikuwepo chama kinaitwa Muslim Brotherhood, kundi au chama hiki kilikua kimeifanya Misri kama uwanja wa vita asa dhidi ya madhehebu ya kidini. Rais ALISSIS alipoingia madarakani alifanya uamuzi wa kukifuta na leo Misri imetulia tuli.
Kuna umuhimu mkubwa wa kuifuta CHADEMA ya sasa maana inakihuka kwa kiasi kikubwa maadili ya Taifa letu...
Ndugu huko sahihi sana ..alafu wanataka tufumbe macho kwa makosa kama hayo. HAPANANinao uhakika huyo waziri ni kundi la mashoga, hujui vyanzo vyangu vya taarifa ni vipi hivyo usinipangie cha kuandika.
Lissu alisema hatashiriki uchaguzi wa mwaka huu , February aliyasema hayo. Pia Lissu akiwa ni mwanasheria msomi hatakiwi kutumia lugha za kudhalilisha serikali kwa maneno yenye kutafsiriwa kuwa ni uhaini.