Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

Ni vigumu kujifanya mzalendo kwenye nchi ambayo wakati wewe una struggle na mlo mmoja alafu unashuhudia mtu anaiba mabilioni ya pesa

Huwezi kuwa mzalendo kwenye nchi ambayo watu wanatekwa na kupotezwa kama kuku alafu wenye mamlaka wanasema kifo ni kifo tu
 
Tume ya Wahuni wa Uchaguzi yenye kanuni kama hii:
"Mawakala wa vyama hawaruhusiwi kuingia na simu za mkononi, kamera au vifaa vyovyote vya kurekodia katika vituo vya kupigia au kuhesabia kura"
 
Lini uliwai kusikia CCM ikiwaasa vyama rafiki wa CHADEMA kua wasiipe ushirikiano ,wasitoe pesa nk? CHADEMA inasema nchi hizo zifute urafiki,ushirikiano na kuiwekea vikwazo Tanzania. Unafikiri ili ni sawa?


Yes sasa kama EU inatoa mikopo ambayo watanzania wote tunalipa then mtumishi wa umma anaenda kununua kiwanja kwa bilion 2 unataka chadema wasemaje?

For sure yes wakate mikopo yote
 
Kosa la chadema kudai reforms? Jamani tuwe wazalendo unawezaje kutumia kalibia tirilion moja kwenye uchaguzi ambao ni kiini macho unawadanganya nani? Mabeberu sio? Kwanini unawadanganya ina maana kuna faida unapata kupitia hao Mabeberu si ndiyo. Sasa chama ambacho kiko madarakani miaka 41 kina mataji wa wanachama milioni 13 Nchi nzima kinaogopa uchaguzi wa huru na haki come on hii nchi ya watu wote tufanye reforms mwananchi wa enjoy raha ya kuchagua viongozi na hizo reform zitapuguza viburi kwa Viongozi sio kuwambia wananchi waamie Burundi alafu reform sio kwa ajili ya Chadema wala CCM hii ni kwa maslai ya nchi Tupate viongozi wanaopatikana kwa kura za Wananchi watakua na nidhamu kwa wananchi
 
Lini uliwai kusikia CCM ikiwaasa vyama rafiki wa CHADEMA kua wasiipe ushirikiano ,wasitoe pesa nk? CHADEMA inasema nchi hizo zifute urafiki,ushirikiano na kuiwekea vikwazo Tanzania. Unafikiri ili ni sawa?
Kwa hiyo chadema inauwezo huo wa kusema nchi rafiki zisiweze kusaidia na kufuta rafiki Tanzania? Swali nini kimepelekea chadema kusema ivyo? Kama chadema inauwezo huo wa kupelekea nchi rafiki zikasitisha urafiki basi Chadema haiwezi kufutwa CCM tufanye reforms tuingie kwenye uchaguzi tubadilishe Mgombea Chadema haiwezi kushinda CCM kwenye box la kura hata tukifanya reforms nina uhakika huo
 
Kwanni wakisikilizwa na kufanyiwa maombi yyao kuna kesi gani?

Ushapewa kaulaji sasa huwezi hata kusikia vilio vya wenngine
 
Na vip chama kinacho shirikiana na vyombo vya dola kuteka na kuua Raia wake wasio na hatia, hicho kina stahili adhabu gani?
 
Chama kinachodiliki (unamaanisha "Kinachodiriki", hivi wewe hata Kiswahili hujui, Kiingereza hujui, unaelewa maana ya opposition party?
 
Qmmk!
 
Aftakhafirullah kumbe ulisha LAANIWA 😰😰😰
 
Chama kinachodiliki (unamaanisha "Kinachodiriki", hivi wewe hata Kiswahili hujui, Kiingereza hujui, unaelewa maana ya opposition party?
Opposition political does not mean chaotic or puppet political party. Tatizo mnakariri mlivyofundishwa shuleni wakati wa debate basi.. Opposing side vs Proposer side .Hii si maana sahihi kwenye political opposition
 
Kwanni wakisikilizwa na kufanyiwa maombi yyao kuna kesi gani?

Ushapewa kaulaji sasa huwezi hata kusikia vilio vya wenngine
Kwamba ni lazma maoni na matakwa ya CHADEMA yasikilizwe na kufanyiwa kazi..labda ilo litakua Taifa la matahira. Chakufanya ni CHADEMA kubadirika kwa kuuza sera ila wananchi wakichague basi ila sio kuomba eti EU,USA nk waifungie Tanzania misaada,ushirikiano nk
 
Ni kweli, kwenye mkutano wa juzi kati wa ccm walionekana wawakilishi wa vyama rafiki toka korea kaskazini, China na Urusi
 
Ni kweli, kwenye mkutano wa juzi kati wa ccm walionekana wawakilishi wa vyama rafiki toka korea kaskazini, China na Urusi
Kweli ni ili sio kosa bali shida ni pale kundi flani linapoanza kushawishi kundi jingine kau hoo Tanzania sio salama,Tanzania ifungiwe misaada,Tanzania isikubarike kimataifa nk.. Je,tuliwai kuona au kusikia CCM ikishauri vyama rafiki na CHADEMA kutengana na CHADEMA au kuwanyima pesa nk? KARIBU
 
Sijui kwanini kila siku wasengerema mnaongezeka? Kwamba hayo Mataifa yamejaza mazuzu kama nyinyi kila wanachoambiwa na Chadema hawachuji wanachukua hatua tu?
Kwanini Taifa kubwa kama hili lina watu wajinga kiasi hiki? Kipi Chadema wanataka hakina faida na hasara ni ipi kama wanachotaka kikitekelezwa? Kwanini watoto wa kiume mnakuwa na akili finyu nyinyi? Nyinyi ndio mnasababisha Taifa hili limewekwa katika kundi la watu wasiokuwa na akili duniani, sababu kubwa ni kwamba nyinyi wapumbavu mmepewa nafasi ya kuzungumzia maswala nyeti wakaachwa wenye akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…