Chama kinachodiriki kushirikiana na Mataifa mengine ili kuharibu mstakabali wetu kifutwe

Hayo mataifa hawahitaji kuambiwa babu. Wanamashushushu kupitia baloz zao kujua kila kinachoendelea Africa na ulimwenguni cote
 
Kwani nchi tajiri kuzizidi USA na EU inahitaji misaada tena?
 
Mamaenu alipopata madaraka alizunguka duniani kote akadanganya eti ameifungua nchi kwa R4 sasa wanataka waone hizo R4 alizohubiri mnalialia
 
Una point usikilizwe, chadomo siyo chama tena ni kikundi cha wahuni chenye nia ovu. Sahv inatumika km kichaka cha watu wenye nia iliyojificha. Hao mapoyoyo wanaoandika humu mitandaoni usifikiri ni chadema ni wasaliti wa nchi
 
Tatizo mtafuta chama, ila ideologies ambazo tayari zimeshapandikizwa kwenye vya watu na hicho chama bado ikawa ni tatizo kwenu msiopenda mabadiliko...kwa hiyo mtajikuta mnafanya kazi bure tu.
Watu wako wapi we bwege? Nyie misukule wa humu mitandaoni?
 
Mbona Ccm inashirikiana na vyama vya kikomunisti Vya china ? Mpaka wamejengewa chuo cha siasa kibaha?
 
Wakati unaandika haya ulikuwa timamu? Sasa kama Chadema wana uwezo wa kushawishi mataifa/ mashirika yainyime misaada Tanzania, kwa nini wasipewe nchi maana Wana uwezo wa kuamrisha misaada irejeshwe.
 
Matendo ya utekaji na kuuawa kwa watu wasio na hatia ndio adui yetu mkuu, tuanze kupambana na adui huyu kwanza.
 
Si bora hao wanao shirikiana tu kwa maneno, vip wale walio gawa kabisa na mali asili za taifa kwa waarabu!? Hao si ndio wanatakiwa kupigwa mawe hadharani kabisa.
 
Tunawaza kwa kutumia akili zetu sana kuliko wale wanaotumia ubongo ndugu yangu Mshana
Kajifunze kuandika kisha urudi kuandika tena, utopolo mtupu ulioandika hapa.
Nitashangaa sana ukinambia na wew ni mwanafunzi au mhitimu wa Chuo kikuu
 
Lete mifano ya hizo taratibu wanazozifuata.
 
Hakuna kisichofutwa kilicho anzishwa na mwanadamu. Tuitaji Tanzania yenye amani na utulivu kuliko jambo lolote lile.

Haya yalitokea 2020 kwemye uchaguzi na watendaji wa haya ni jeshi la policcm. Kuna siku ulikemea haya mauaji na vipigo, watu kutekwa na kulawitiwa na mengine machafu? Ccm ndo mbaya wa nchi hii na sio mwengine. Acheni ushetani.
 
Wewe jifunze tofauti ya haifai na aifai kwanza kabla ya kuja kujifaragua hapa.

Kiswahili tu hujui, unalazimisha kujadili siasa na uongozi wa nchi?
 
Bila shaka utakua kamanda... ebu tuelimishe hapa

Baadhi ya mifano watekaji hawo ni policcm na policcm ndio wachunguzi, vichekesho. Kwenye jukwaa ni mwanaccm akichochea mwa kutoa kauli hiyo juu ya lissu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…