Chama kipya cha ex-CCM kitaleta chachu kubwa kwenye siasa

Chama kipya cha ex-CCM kitaleta chachu kubwa kwenye siasa

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hawa wana CCM wanaotolewa kwenye meza kuu wawe na ujasiri wa kuunda chama ambacho kitakuwa mbadala wa CCM.

Iwe CCM B ya ukweli na wazi.

Nchimbi
Majaliwa
Mpango
January
Mpina
Dotto Biteko (Asipokuwa makamu wa Rais)
 
Hawa wana CCM wanaotolewa kwenye meza kuu wawe na ujasiri wa kuunda chama ambacho kitakuwa mbadala wa CCM.

Nchimbi
Majaliwa
Mpango
January
Mpina
Dotto Biteko (Asipokuwa makamu wa Rais)
Hawatufai, bado itakuwa CCM ileile
 
Wanatoa wapi hio authority kama TAL tu ananyea debe nani anaweza kutingisha meza yenye vinywaji ghari??

Kuna mtu alikuwa Jikoni kama Polepole.?
Leo yupo wapi

Hao wasijaribu hata kufikiria watapotea
 
Back
Top Bottom