Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pushers..SKM PARTY
ccm wanajiundia chama chao, maana chama serious kweli kweli hakiwezi hata kupata usajili.Wananchi hatutaki chama kipya,Tunataka katiba mpyaaaa
Ni CCM====> Wasio ridhishwa na mwenendo wa chama kwa sasaChama cha Umoja===> CCU.
Namuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima, Chalamila, Mongela, Makonda, Sabaya yupo jela...........Bila shaka kitajengwa na tofali zinazomeguka kutoka CCM.
Tunataka katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi sio Chama kipya.Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...