Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenyekiti ==> Bashiru
Katibu mkuu==> Polepole
Hamia ACT, usitupangieCDM NI WASENGE MWENYEKITI ANAKAA MIAKA 25 YA UENYEKITI HIKO NI CHAMA KWEL AKIWA RAISI INAKUWEJE?
CDM NI UJINGA
CHAGA MOVEMENT TO DODOMA
CDM
Mwali, hapo hakuna upinzani bali ni ccm walewale (magifuli) wenye mrengo na mtazamo tofauti na hii ccm ya mamaSasa Bashiru kuwa mwenyekiti wa chama ndio anguko lingine kwa hilo zoezi!?
Wengi wa wanasiasa wa vyama pinzani Tanzania hawana nia ya dhati ya kupeleka nchi kwenye maendeleo ya watu. Ndio maana upinzani unazidi kuwa dhaifu siku baada ya siku
Mungu ibariki Tanzania
Mwali, hapo hakuna upinzani bali ni ccm walewale (magifuli) wenye mrengo na mtazamo tofauti na hii ccm ya mama
Katiba mpya haitashuka kama mana..inawezekana hicho chama unachokidharau ndio kikaleta mapinduzi ya katiba mpya tofauti na hiki kinachoishia kutoa matamko ambapo watoa matamko wapo nje ya nchi na familia zao.Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.
Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Endelea kutunza heshima unayopewa na watu huku jamvini, kushabikia upuuzi ni kujiondolea hadhi bila sababu.Dah LOGIC MENTALITY [emoji52][emoji848]
Hiki ndicho unachomaanisha au umetumia hilo neno kimakosa??
View attachment 1994503
Katiba mpya haitashuka kama mana..inawezekana hicho chama unachokidharau ndio kikaleta mapinduzi ya katiba mpya tofauti na hiki kinachoishia kutoa matamko ambapo watoa matamko wapo nje ya nchi na familia zao.Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.
Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Endelea kutunza heshima unayopewa na watu huku jamvini, kushabikia upuuzi ni kujiondolea hadhi bila sababu.
Unamaanisha chama cha SUKUMASKM PARTY
Tanzania inahitaji upinzani mpya kabisa wa kupingana au kushindana na CCM. Hao akina CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, n.k. wameshapoteza credibility waliokuwa nayo. Hawana jipya.Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.
Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Hata kama katiba mpya ikija bado watu watakuwa ni wale wale tu hawatobadilika,hivyo itakuwa kazi bure.Ishu ni katiba imara tu maana tume ni ile ile , wasimamizi ni walewale , wakurugenzi ni walewale.
Kuanzisha chama kipya ni kama kigenge kipya cha kukusanya Ruzuku bila uharamu.
Mkuu tukikupekua tutakuta una kadi ya ccmNaunga mkno kuanzisha hicho chama kitakachokijikita kutatua kero za wananchi kwa dhati, kupambana na rushwa kwa vitendo, kuunganisha umoja wa watanzania bila kujali rangi, itikadi, eneo analotoka, dini, kabila au jinsia.
Kusisitiza kujitegemea sio misaa na mikopo kutoka nje yenye lengo la kunufaisha wenye nguvu za kiuchumi na kulinda mamlaka ya nchi
Kusikiliza kero za wananchi, kutafuta suluhisho kwa kuzingatia mazingira na tamaduni za nchi
Kuboresha maono ya ujenzi wa nchi kupitia falsafa za Nyerere na Mwinyi ndio itazaa umoja halisi kwa maslahi ya wananchi
Kuwa tayari kuandaa utaratibu wa marekebisho ya katiba na sheria za utendaji ili kumpa haki na mamlaka halisi mwananchi pindi anapokosewa kwa kuvunjwa ahadi za kisera
Kuwa tayari kuandaa mpango wa kuabdili mfumo wa kipolisi uliorithiriwa kutoka kwa wakoloni ili uendane na matakwa ya nchi kuhusu ulinzi wa kweli wa mali na maisha ya watu
*Mimi ningependekeza kiwe kiitwe "Chama cha Umoja, Haki na Uzalendo Tanzania-CHAUHUTA"
CCM kwa sasa hakifai kabisa kupewa dhamana ya kitu chochote kile
Wew ni kimaCHADEMA NI WASENGE MWENYEKITI ANAKAA MIAKA 25 YA UENYEKITI HIKO NI CHAMA KWEL AKIWA RAISI INAKUWEJE?
CHADEMA NI UJINGA
CHAGA MOVEMENT TO DODOMA
CHADEMA
Mbadala wa CCM. Acha tuoneChama kipya cha siasa kipo mbioni kuja je ni mbadala wa chadema? View attachment 1994407
Ccm bana eti mikakati ya think tanks wao ni kuanzisha chama kipya alafu kumfunga jela mbowe Ili cdm ife
Naona rangi ya kijani na njano, huu utakuwa ni mwanzo wa kumeguka kwa CCM.