Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Tanzania inahitaji upinzani mpya kabisa wa kupingana au kushindana na CCM. Hao akina CHADEMA, ACT WAZALENDO, CUF, n.k. wameshapoteza credibility waliokuwa nayo. Hawana jipya.

Kitu cha kwanza kama taifa tunahitaji credible and reliable oppositions na Katiba mpya ndiyo itafuatia. Huwezi kupata "Katiba mpya" kama huna upinzani unaoaminika na wananchi.
Mifumo ndo mibovu na kandamizi kwa upinzani ila vyama vipo safi tu
 
Naunga mkno kuanzisha hicho chama kitakachokijikita kutatua kero za wananchi kwa dhati, kupambana na rushwa kwa vitendo, kuunganisha umoja wa watanzania bila kujali rangi, itikadi, eneo analotoka, dini, kabila au jinsia.

Kusisitiza kujitegemea sio misaa na mikopo kutoka nje yenye lengo la kunufaisha wenye nguvu za kiuchumi na kulinda mamlaka ya nchi

Kusikiliza kero za wananchi, kutafuta suluhisho kwa kuzingatia mazingira na tamaduni za nchi

Kuboresha maono ya ujenzi wa nchi kupitia falsafa za Nyerere na Mwinyi ndio itazaa umoja halisi kwa maslahi ya wananchi

Kuwa tayari kuandaa utaratibu wa marekebisho ya katiba na sheria za utendaji ili kumpa haki na mamlaka halisi mwananchi pindi anapokosewa kwa kuvunjwa ahadi za kisera

Kuwa tayari kuandaa mpango wa kuabdili mfumo wa kipolisi uliorithiriwa kutoka kwa wakoloni ili uendane na matakwa ya nchi kuhusu ulinzi wa kweli wa mali na maisha ya watu

*Mimi ningependekeza kiwe kiitwe "Chama cha Umoja, Haki na Uzalendo Tanzania-CHAUHUTA"

CCM kwa sasa hakifai kabisa kupewa dhamana ya kitu chochote kile
Si kitakuwa NGO sasa Mkuu au haidhuru?[emoji23][emoji23]
 
Demokrasia ya vyama vingi inazidi kushamiri Tanzania.

Angalizo, Kamwe wasikigeuze chama kuwa Genge la Kihalifu kama walivyo fanya viongozi wa Chadema.

Chama cha siasa lazima kiwe kweli chama cha kisiasa.
Pumbavu kama mwendazake na Musiba + Sabaya.
 
Umoja wa manyumbu au akina cdm
 
Back
Top Bottom