Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Waspobadilika wataendelea kuja na malalamiko uliyoandika hapo juu kizazi baada ya kizazi
Upinzani imara hauwezekani bila nguvu ya wananchi, na nguvu ya wananchi haiji kwa kulalamika ila kwa siasa zinazowaonyesha njia sahihi ya kumaliza matatizo yao ikiambatana na vitendo na sio blahblah
Matamanio yangu ni kuona siasa kwa ustawi wetu sote
Nasubiria ushawishi wako kwangu walau nikupigieni kura siuoni
Nguvu ya wananchi unayoiongelea ww ni ya kupambana na vyombo vya dola.
Unataka kuona ushawishi wa kisiasa kwa vigezo vya kiccm. Mimi sihitaji kura yako maana sihitaji uongozi popote. Tafuta wanaotaka uongozi uwape kama watakuwa na sababu za kiccm za kukuridhisha.