Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Sawa mwenyekiti tutakusubiriOk nitakupitia hapo tip top
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mwenyekiti tutakusubiriOk nitakupitia hapo tip top
I can guarantee you, CCM will continue to be the ruling party for the next 10 millenniums.Childish Day dream,there's an end for everything...CCM was born,grown,it is now very old on the way to go the grave[emoji16]
Dah hakuna hata jina la mswalihina hapoNamuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima, Chalamila, Mongela, Makonda, Sabaya yupo jela...........
Si yupo bashiruDah hakuna hata jina la mswalihina hapo
Demokrasia ya vyama vingi inazidi kushamiri Tanzania.
Angalizo, Kamwe wasikigeuze chama kuwa Genge la Kihalifu kama walivyo fanya viongozi wa Chadema.
Chama cha siasa lazima kiwe kweli chama cha kisiasa.
Mama akija kushituka, itakuwa ni too late.Namuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima, Chalamila, Mongela, Makonda, Sabaya yupo jela...........
Naunga mkno kuanzisha hicho chama kitakachokijikita kutatua kero za wananchi kwa dhati, kupambana na rushwa kwa vitendo, kuunganisha umoja wa watanzania bila kujali rangi, itikadi, eneo analotoka, dini, kabila au jinsia.
Kusisitiza kujitegemea sio misaa na mikopo kutoka nje yenye lengo la kunufaisha wenye nguvu za kiuchumi na kulinda mamlaka ya nchi
Kusikiliza kero za wananchi, kutafuta suluhisho kwa kuzingatia mazingira na tamaduni za nchi
Kuboresha maono ya ujenzi wa nchi kupitia falsafa za Nyerere na Mwinyi ndio itazaa umoja halisi kwa maslahi ya wananchi
Kuwa tayari kuandaa utaratibu wa marekebisho ya katiba na sheria za utendaji ili kumpa haki na mamlaka halisi mwananchi pindi anapokosewa kwa kuvunjwa ahadi za kisera
Kuwa tayari kuandaa mpango wa kuabdili mfumo wa kipolisi uliorithiriwa kutoka kwa wakoloni ili uendane na matakwa ya nchi kuhusu ulinzi wa kweli wa mali na maisha ya watu
*Mimi ningependekeza kiwe kiitwe "Chama cha Umoja, Haki na Uzalendo Tanzania-CHAUHUTA"
CCM kwa sasa hakifai kabisa kupewa dhamana ya kitu chochote kile
Ndiyo Cha kina NAPE,Musiba,Member sumaye Sofia Simba, Polepole ,Bashiru nkBila shaka kitajengwa na tofali zinazomeguka kutoka CCM.
Yaleyale ya CCJ , nacho kitakufa tu. Hakuna klichoanzishwa kupambana na chadema kikafanikiwaNiliweka uzi hapa jukwaani kuhusu chama hiki mods wakautoa. Chama hiki kilianzishwa na Magufuli akiwa hai, na lengo la chama hiki ni kukifanya kiwe chama kikuu cha upinzani dhidi ya cdm, na kiwe kinafanya siasa kwa maagizo ya ccm. Chama hiki kinaratibiwa na system, na hii ni baada ya kuona ccm imepoteza ushawishi kwa umma. Lakini ili chama hiki kipate nguvu ilibidi cdm iuwawe kwanza.
Ccm inajua fika imepoteza ushawishi, na inaona aibu kushindwa na cdm, pia inaogopa cdm ikichukua nchi watawalipizia kisasa. Hivyo ni bora kianzishwe chama kingine ili kifanye siasa salama kwa ccm. Miaka hii miwili kumekuwa na wapima upepo huku mitandaoni kama hicho chama kianzishwe ama la.
Tunataka hikiTunaanza kuunda vyama vya kushiriki uchaguzi mkuu, nyie CDM si mmegoma kwani mnafikiri tutakosa vyama vya kutufanyia justification ya uchaguzi?
Upinzani unazidi kuwa dhaifu halafu unatumika uhayawani wa wazi kuwapora uchaguzi! Wapinzani wakitaka kufanya siasa polisi wanajazana kuwazuia wasifanye lolote. Huo ndio udhaifu unaotaka tuamini wapinzani wanao. Kwa bahati mbaya akili ya ccm iliyochoka na kupoteza ushawishi ndio inayoanzisha chama sasa. Ni hivi, kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke, hicho chama kitachemsha kama inavyochemsha ccm sasa.Sasa Bashiru kuwa mwenyekiti wa chama ndio anguko lingine kwa hilo zoezi!?
Wengi wa wanasiasa wa vyama pinzani Tanzania hawana nia ya dhati ya kupeleka nchi kwenye maendeleo ya watu. Ndio maana upinzani unazidi kuwa dhaifu siku baada ya siku
Mungu ibariki Tanzania
Hicho chama kingeitwa Mazuzu Party ingependeza.Ongeza Makonda, Sabaya, Musiba, chalamila
Naona rangi ya kijani na njano, huu utakuwa ni mwanzo wa kumeguka kwa CCM.
Inavyoonekana CCM B inaenda kuzaliwa na kama ni kweli basi sasa tutarajie ushindani halisi uchaguzi mkuu ujao 2025.
Kuna kundi ndani ya CCM halimkubali kabisa "Madam".
The beginning of the end for CCM is coming!
Ww huungi mkono kuanzishwa kwa hicho chama, bali unafahamu mipango ya hicho chama.Naunga mkno kuanzisha hicho chama kitakachokijikita kutatua kero za wananchi kwa dhati, kupambana na rushwa kwa vitendo, kuunganisha umoja wa watanzania bila kujali rangi, itikadi, eneo analotoka, dini, kabila au jinsia.
Kusisitiza kujitegemea sio misaa na mikopo kutoka nje yenye lengo la kunufaisha wenye nguvu za kiuchumi na kulinda mamlaka ya nchi
Kusikiliza kero za wananchi, kutafuta suluhisho kwa kuzingatia mazingira na tamaduni za nchi
Kuboresha maono ya ujenzi wa nchi kupitia falsafa za Nyerere na Mwinyi ndio itazaa umoja halisi kwa maslahi ya wananchi
Kuwa tayari kuandaa utaratibu wa marekebisho ya katiba na sheria za utendaji ili kumpa haki na mamlaka halisi mwananchi pindi anapokosewa kwa kuvunjwa ahadi za kisera
Kuwa tayari kuandaa mpango wa kuabdili mfumo wa kipolisi uliorithiriwa kutoka kwa wakoloni ili uendane na matakwa ya nchi kuhusu ulinzi wa kweli wa mali na maisha ya watu
*Mimi ningependekeza kiwe kiitwe "Chama cha Umoja, Haki na Uzalendo Tanzania-CHAUHUTA"
CCM kwa sasa hakifai kabisa kupewa dhamana ya kitu chochote kile
Siasa za upinzani nchi hii bado sanaaaa
Upinzani unazidi kuwa dhaifu halafu unatumika uhayawani wa wazi kuwapora uchaguzi! Wapinzani wakitaka kufanya siasa polisi wanajazana kuwazuia wasifanye lolote. Huo ndio udhaifu unaotaka tuamini wapinzani wanao. Kwa bahati mbaya akili ya ccm iliyochoka na kupoteza ushawishi ndio inayoanzisha chama sasa. Ni hivi, kizazi hiki sio cha kuchaguliwa mke, hicho chama kitachemsha kama inavyochemsha ccm sasa.
Haya ndio matamanio yako.
Kama ilivyo ada humuwezagi kujibu hili swaliKila zama na kitabu chake kwa nini tuongonzwe na katiba ya kale