Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Chama kipya cha Siasa kinachoitwa "Umoja Party" kuanzishwa

Chama chochote chenye mlengo, nia na Imani ya Nyerere au Magufuli hao nitakwenda nao
Chadema wanaamini wazungu ndio watatukomboa na dubwana lao lisu + Robertson,
CCM kimetekwa na majizi
Ngoja tuone kama huu umoja utazaa jambo gani.
 
Chama chochote chenye mlengo, nia na Imani ya Nyerere au Magufuli hao nitakwenda nao
Chadema wanaamini wazungu ndio watatukomboa na dubwana lao lisu + Robertson,
CCM kimetekwa na majizi
Ngoja tuone kama huu umoja utazaa jambo gani.
Na me nipo kwenye msafara
 
Tungoje siku 21 zipite na chama cha Umoja kitangazwe rasmi kuwa chama kipya cha siasa Tanzania.

CCM imerudi kwa wachache wenye maamuzi makubwa na wamerudisha upuuzi wote, kuajiri wapambe ambao wengi wao wamo humu JF na kumhonga Kigogo abadilike.

Watu zaidi ya milioni 60 wengi wakiwa ni masikini hawawezi kuamuliwa mstakabali wa maisha yao na kundi la wahuni wachache waso na hata chembe za uzalendo wa nchi hii.
 
Naona rangi ya kijani na njano, huu utakuwa ni mwanzo wa kumeguka kwa CCM.

Inavyoonekana CCM B inaenda kuzaliwa na kama ni kweli basi sasa tutarajie ushindani halisi uchaguzi mkuu ujao 2025.

Kuna kundi ndani ya CCM halimkubali kabisa "Madam".

The beginning of the end for CCM is coming!
Kama kuna mwanasiasa mwenye yuko vizuri upstairs, akasimama hata kama ni chama kipya, akaingia field kwa kumuenzi JPM, ATASHANGAZA watu, haya matusi dhidi ya JPM yapeleke kwa watu huko chini uone nini kitakupata.
 
Kusemwa na nani? kikianzishwa hicho mbona kitawaduwaza hamtaamini macho yenu, hata hicho watangaze tu kufuata umagufuli mbona mtafurahi, huko field watu huwaambii kitu kuhusu JPM.
Natamani iwe ivyo
 
Natamani iwe ivyo
Wanashinda kumtukana JPM kwa kutumua multiple accounts kwa social medias na kujiaminisha kwamba ni washindi, waende huko kwa voters wamtukane JPM waone kitachowatokea, naomba iwe kweli watu tukachukuwe Kadi aisee uzuri Mama keshasema ye ni mtu wa haki basi hatuna hofu kabisa...
 
Mbona hilo chata la kikoloni sana? Mnataka kuturudishia kiongozi mwenye mambo ya kizamanizamani kama yule jamaa?
Kipigwe chini mapema sana!
Tukutane field acha uoga kiongozi nyinyi mmemtukana na kumbeza kiongozi wetu
 
Chadema is drowning in deep sea.

Watanzania wanahitaji umoja na maendeleo.

Vyama vya upinzani ndio maendeleo. Tuwaunge mkono . Wameomba usajili.

IMG-20211101-WA0003.jpg
 
Back
Top Bottom