Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wa sasa hawahitaji umoja wanahitaji haki na maisha bora
Na me nipo kwenye msafaraChama chochote chenye mlengo, nia na Imani ya Nyerere au Magufuli hao nitakwenda nao
Chadema wanaamini wazungu ndio watatukomboa na dubwana lao lisu + Robertson,
CCM kimetekwa na majizi
Ngoja tuone kama huu umoja utazaa jambo gani.
Tunajitaji mawazo mapya si vyama vipya vyenye mawazo ya kizamaniHaya Watanzania mnaletewa chama kipya
Kipokeeni
Ova
Asavali tumechoka na hivi vyama vya wenyewe na koo zao.
🤣🤣Kichwa kipo na miguu ipo ila moguu hamna
Na mimi, na mke wangu..Wewe na nani mnataka chama kipya?
Mnateseka sana..Sukuma ganja at work
Kama kuna mwanasiasa mwenye yuko vizuri upstairs, akasimama hata kama ni chama kipya, akaingia field kwa kumuenzi JPM, ATASHANGAZA watu, haya matusi dhidi ya JPM yapeleke kwa watu huko chini uone nini kitakupata.Naona rangi ya kijani na njano, huu utakuwa ni mwanzo wa kumeguka kwa CCM.
Inavyoonekana CCM B inaenda kuzaliwa na kama ni kweli basi sasa tutarajie ushindani halisi uchaguzi mkuu ujao 2025.
Kuna kundi ndani ya CCM halimkubali kabisa "Madam".
The beginning of the end for CCM is coming!
Kusemwa na nani? kikianzishwa hicho mbona kitawaduwaza hamtaamini macho yenu, hata hicho watangaze tu kufuata umagufuli mbona mtafurahi, huko field watu huwaambii kitu kuhusu JPM.Wamekwepa kiunzi cha kusemwa
Natamani iwe ivyoKusemwa na nani? kikianzishwa hicho mbona kitawaduwaza hamtaamini macho yenu, hata hicho watangaze tu kufuata umagufuli mbona mtafurahi, huko field watu huwaambii kitu kuhusu JPM.
Wanashinda kumtukana JPM kwa kutumua multiple accounts kwa social medias na kujiaminisha kwamba ni washindi, waende huko kwa voters wamtukane JPM waone kitachowatokea, naomba iwe kweli watu tukachukuwe Kadi aisee uzuri Mama keshasema ye ni mtu wa haki basi hatuna hofu kabisa...Natamani iwe ivyo
Mbona hilo chata la kikoloni sana? Mnataka kuturudishia kiongozi mwenye mambo ya kizamanizamani kama yule jamaa?Chama kipya cha siasa kipo mbioni kuja je ni mbadala wa chadema? View attachment 1994407
Tukutane field acha uoga kiongozi nyinyi mmemtukana na kumbeza kiongozi wetuMbona hilo chata la kikoloni sana? Mnataka kuturudishia kiongozi mwenye mambo ya kizamanizamani kama yule jamaa?
Kipigwe chini mapema sana!
HapanaChama kipya cha siasa kipo mbioni kuja je ni mbadala wa chadema? View attachment 1994407
Igudunde mwenyekiti ndio wewe? 🏃Chadema is drowning in deep sea.
Watanzania wanahitaji umoja na maendeleo.
Vyama vya upinzani ndio maendeleo. Tuwaunge mkono . Wameomba usajili.View attachment 1995584