kmbwembwe
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 10,892
- 7,780
Walete nyaraka zao na nani waanzilishi tuone kama kiitikadi wana mwelekeo gani. Tumechoka ccm imejaa wachumia tumbo.Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walete nyaraka zao na nani waanzilishi tuone kama kiitikadi wana mwelekeo gani. Tumechoka ccm imejaa wachumia tumbo.Chama Kipya Kinakuja, Kinaitwa Umoja Party...
Hakuna chama hapo. wameona ccm B imeshindwa kufikia lengo wanafungua CCM CDemokrasia ya vyama vingi inazidi kushamiri Tanzania.
Angalizo, Kamwe wasikigeuze chama kuwa Genge la Kihalifu kama walivyo fanya viongozi wa Chadema.
Chama cha siasa lazima kiwe kweli chama cha kisiasa.
Namuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima ...........
Naunga Mkono hojaNamuona Bashiru, Kabudi, Polepole, Job, Ngeleja, Biteko, Musukuma, Gwajima ...........
Mwenyekiti ==> BashiruKama namuona Mwenyekiti wake
Naunga mkno kuanzisha hicho chama kitakachokijikita kutatua kero za wananchi kwa dhati, kupambana na rushwa kwa vitendo, kuunganisha umoja wa watanzania bila kujali rangi, itikadi, eneo analotoka, dini, kabila au jinsia.
Kama unavyo iona Chademahakuna chama hapo. wameona ccm B imeshindwa kufikia lengo wanafungua CCM C
Polepole, bashiru, mkt ccm mkoa wa mwanza, musukuma, kalemani,Bila shaka kitajengwa na tofali zinazomeguka kutoka CCM.
Mwenyekiti wa chama hiki ajiandae kwenda segerea kwa kesi ya uhujumu uchumi kabla ya mwa 2024Walete nyaraka zao na nani waanzilishi tuone kama kiitikadi wana mwelekeo gani. Tumechoka ccm imejaa wachumia tumbo.
Wewe ndo hutaki chama kipya siye tunataka hicho chamaWananchi hatutaki chama kipya,Tunataka katiba mpyaaaa
Nyie chama mnacho kwa nini? Tusianzishe cha kwetuWananchi hatutaki chama kipya,Tunataka katiba mpyaaaa
Pro-CCMMwenyekiti ==> Bashiru
Katibu mkuu==> Polepole
Kuna "genge la kihalifu" kama CCM!?Demokrasia ya vyama vingi inazidi kushamiri Tanzania.
Angalizo, Kamwe wasikigeuze chama kuwa Genge la Kihalifu kama walivyo fanya viongozi wa Chadema.
Chama cha siasa lazima kiwe kweli chama cha kisiasa.
Nyie kina nani? Ni chama gani hicho?Nyie chama mnacho kwa nini? Tusianzishe cha kwetu
Wewe na nani mnataka chama kipya?Wewe ndo hutaki chama kipya siye tunataka hicho chama