Filosofia ya Rorya
JF-Expert Member
- Sep 20, 2021
- 3,211
- 3,619
Mkuu Eliasmisinzo,HIVI CCM ni chama Cha siasa? Kina hati ya USAJILI?
Sijazungumzia katiba mpya bali katiba imara, inaweza ikawa mpya ila worse kuliko hata ya sasa.Katiba mpya haitashuka kama mana..inawezekana hicho chama unachokidharau ndio kikaleta mapinduzi ya katiba mpya tofauti na hiki kinachoishia kutoa matamko ambapo watoa matamko wapo nje ya nchi na familia zao.
Niliwahi kuambiwa kuwa CCM maana yake ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT!!Ambayo ilianzishwa kwa kuiua TANU ambayo ilijaa waswahili wengi ambao hata juhudi zao za kupigania uhuru hazikumbukwi nchini!kifupi wazee wa TANU walipotezwa kimya kimya wasije sema ukweli wa mambo!!!NDIO MAANA NI NYERERE TU ANAKUMBUKWA SIO HAO!!!KWELI CCM NI DINI!!!Mkuu Eliasmisinzo,
Ngoja niwaambie, CCM siyo chama cha siasa, CCM ni #Dini kama zilivyo dini zingine kama Ukristo, Uislamu, Udruze, Bahai, Uyahudi, Kurd, Aramean, Armenia, Upagani, Budha nk. Ni makosa makubwa yasiyosahishika kwa kanuni yoyote ile kuamini kwamba CCM ni chama cha siasa, la hasha! CCM ni #Dini na ndani ya Dini ya CCM kuna Madhehebu (Mitandao na Vyama unavyoweza kuviita Vibaraka), na ijulikane kuanzia leo kwamba hakuna mtu anaweza kuvunja Dini (ikiwemo Dini ya CCM), Hitler, Musolini, Mao, Botha, Paulo Mtume, Martin Luther, Mafarao wote 40, Makaisari wote 12, Mapapa wote 266 walijaribu lakini hawakuweza kuvunja Dini yoyote chini ya jua, itakuwa mimi na wewe tuliolelewa kwa samaki za Ziwa Victoria na ndizi za Moshi ndiyo tuivunje CCM? Namshauri mtu yeyote atubu kwa kuamini kinyume na ukweli huu.
Tafsiri yangu hii itaishi kutimia japo leo naweza kupopolewa mawe kwayo kama Socrates 399 BC.
Halafu hii nembo pamoja na rangi naona kama zinafanana na kilichokuwa Chama Cha TANUChama Cha Polepole hicho
Upinzani Kama ni DHAIFU dola ingeingilia? Wakifanya jogging tu tayari Polisi hawa hapa, mikutano wa ndani tu, Polisi hawa hapa. Upinzani dhaifu sasa uachwe huru tuone CCM kama watakuwepo!
Nimetoka patupu mkuu. In your kindness, naomba ufafanuzi 😁😁😁SKM PARTY
Ndio sababu viongozi wao wajuu hawakufungua midomo kukemea uovu uliofanyika na unaondelea kufanyika. Yawezekana hata Askofu Bagonza karuhusiwa kukosoa ili kubalance uwepo wao.Niliwahi kuambiwa kuwa CCM maana yake ni CATHOLIC CHURCH MOVEMENT!!Ambayo ilianzishwa kwa kuiua TANU ambayo ilijaa waswahili wengi ambao hata juhudi zao za kupigania uhuru hazikumbukwi nchini!kifupi wazee wa TANU walipotezwa kimya kimya wasije sema ukweli wa mambo!!!NDIO MAANA NI NYERERE TU ANAKUMBUKWA SIO HAO!!!KWELI CCM NI DINI!!!
Risasi 16 ?
Endelea kuchati wkt Gaidi akula mvuaNyie wasukuma.hembu kubalini kwamba DUBWASHA LENU halipo.
Msitusumbie
Sahihi huwezi kumpinga JPM halafu ukakubalika na wananchiChagadema imekwisha kufa kwa ku.pinga magufuli
Walimpiga Mandela!
Alikuwa ndani ya nyumba za serikali, wala hawakuwa wabelgiji waliotoa roho ya lumumba!
Rejea case ya rwakatare
Nyie ndo walewale kina mrema.
!Chagadema imekwisha kufa kwa ku.pinga magufuli