Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Falsafa ya kuendeleza kazi ya Magufuri itawasaidia sana lakini watakwama kwa sababu Magufuri hakupenda kukosolewa hivyo waanzilishi wake nao hawatopenda kukosolewa ili kulinda heshima ya Hayati Magufuri.
Comment yako sio appropriate.You can have a different style of managing politics na uka achieve the same goals.
 
Benjamin William Mkapa aliiweka Tanzania katika ramani ya dunia kiuchumi,kisiasa,kijamii na kidiplomasia kwa hiyo kama hukumpenda nenda ujinyonge ili wale tuliofaidi utawala wake tuendelee kumuenzi kwa mazuri yake.
Umesahau biashara Ikulu?Umesahau kuifanya Tanzania shamba la Bibi kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu kwa bei ya kutupa?Msitukumbushe.
 
Hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Labda hujui maana ya "political will,"Google utaelewa.You can have the best constitution in the world,but without political will,everything comes down to zero.
 
Comment yako sio appropriate.You can have a different style of managing politics na uka achieve the same goals.
Don't force to speak or comment what you want yourself,am not Magufulist philosopher,my point is to remember a real President who was a president of people by that time he raised Tanzania from mud and made it louder in the whole world,his speeches,linguistic man and heavy thinker and creative person who made several institutions which are prevailing till now,Mr Benjamin Mkapa.
 
Hakika damu hizi hazitopotea bure,lile kubwa la maadui lazma liingie moton
Damu zipi,hizo picha za Kivu na CAR.Anyway,tunachosena ni hiki tushirikiane wote kuiletea nchi yetu maendeleo,kusitokee mmoja wetu akawa Covert CIA operative or whatever akatuvuta miguu nyuma,hiyo haitakubalika.
 
Huu ni usanii kama usanii mwengine wowote mwaka umeisha wako katika process ya kusubiria ofisi ya msajili wa vyama iseme chochote. Ofice isiposema mpaka 2040 watakuwa wakisubiria tu. Puaa puaa puaa×2
 
Sijawahi muona Beberu Tangu nizaliwe Tanzania kwa sababu nilizaliwa baada ya uhuru hivyo ukoloni na ubeberu sijawahi uona labda kidogo ukoloni uliibuka kipindi cha utawala wa awamu ya tano chini ya Kayafa mwendakuzimu.
Umesahau biashara Ikulu?Umesahau kuifanya Tanzania shamba la Bibi kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu kwa bei ya kutupa?Msitukumbushe.
 
Institutions?Tunataka institutions ziwasaidie watu,sio ziwe mzigo kwa watu.
 

Hakuna kiongozi wa CCM atakayehama, hakika nakwambia.
 
Udikteta na ukabila uliuona wewe,sisi wengine hatukuuona.Subiri wananchi wataamua kwenye box la kura 2025.

Aliyeongea naye Ni mwananchi. Huyo Magufuli alizuia siasa kwa miaka mitano, je hicho chama na chenyewe kikizuiliwa kufanya siasa miaka mitano kitakubali?
 
Na zinatusaidia sana mfano,TRA inakusanya mapato ambayo yanafanya nchi isonge mbele,TCRA mawasiliano nchi nzima mambo ya barua tulishasahau,TAKUKURU watu wanajiliwa huko na kutnza familia zao,mambo mengi tena mengi sana kuyaeleza kimoja kimoja itakuchukua mwaka.
Institutions?Tunataka institutions ziwasaidie watu,sio ziwe mzigo kwa watu.
 
Sijawahi muona Beberu Tangu nizaliwe Tanzania kwa sababu nilizaliwa baada ya uhuru hivyo ukoloni na ubeberu sijawahi uona labda kidogo ukoloni uliibuka kipindi cha utawala wa awamu ya tano chini ya Kayafa mwendakuzimu.
Tumieni akili zenu mlizopewa na Mungu,msishikiwe akili.Ninyi mmeshikiwa akili,sio independent thinkers.Soft Power ya mabeberu imewaharibu.
 
Wataungwa mkono na walio wengi !!


Wachache wa juu ndo watawapinga!!.


Ukweli ni kua Magufuli alipendwa na walio wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Acheni kuongea uongo na unafiki. Mtu anapendwa na wengi anapata asilimia 57 za Kura Tena za wizi. Na kuongezea mtu anayependwa anaweza kuharibu uchaguzi mkuu wa 2020. Magufuli alipendwa kinafiki kwa sababu ya dola.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…