Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabeberu mimi sijawhi waona ila ukoloni wa Magufuri kwa Tanzania huru nimeuona na sitasahau ule ukoloni.Tumieni akili zenu mlizopewa na Mungu,msishikiwe akili.Ninyi mmeshikiwa akili,sio independent thinkers.Soft Power ya mabeberu imewaharibu.
Watanzania wote lazima tuwe wamoja na tushirikiane katika kuiletea nchi yetu maendeleo.Anayeshirikiana na mabeberu katika njia yeyote ile kuturudisha nyuma,huyo si mwenzetu.
Magufuli alishatangulia mbele za haki.Sio lazima aliyofanya yeye yafanywe na Umoja Party.Alifanye yale wakati ule kwa sababu ya mazingira ya siasa ya wakati ule.Kama mazingira ya kisiasa mazuri yapo,kwa nini utumie extraordinary measures.Unatumia extraordinary measures in extraordinary circumstances.Aliyeongea naye Ni mwananchi. Huyo Magufuli alizuia siasa kwa miaka mitano, je hicho chama na chenyewe kikizuiliwa kufanya siasa miaka mitano kitakubali?
Political will ndilo jambo muhimu zaidi.Katiba bila political will is useless.Hayati Magufuli alifanya wonders na Katiba ya mwaka 1977.
Magufuli alishatangulia mbele za haki.Sio lazima aliyofanya yeye yafanywe na Umoja Party.Alifanye yale wakati ule kwa sababu ya mazingira ya siasa ya wakati ule.Kama mazingira ya kisiasa mazuri yapo,kwa nini utumie extraordinary measures.Unatumia extraordinary measures in extraordinary circumstances.
Wananchi wataamua 2925.Leteni picha kutoka kokote:Central African Republic;Jimbo la Kivu,DRC;lakini hazitabadilisha mawazo ya Watanzania.Magufuli was simply their best.
Hata hivyoo,kama ushahidi wote upo kwamba unashirikiana na mabeberu au foreign entities kurudisha nyuma maendeleo ya Watanzania,uchekewe!? I hope not.
[/QUOTE
Tatizo Ni pale mnapokataa ukweli na kukubali marekebisho. Miili ilikutwa ufukweni mwa bahari, Waziri mwigulu akasema Ni wahamiaji haramu kutoka Ethiopia.
Alipendwa na wauaji wenzake.
Aliyeongea naye Ni mwananchi. Huyo Magufuli alizuia siasa kwa miaka mitano, je hicho chama na chenyewe kikizuiliwa kufanya siasa miaka mitano kitakubali?
Wonders katika kuiba kura mkuu??Political will ndilo jambo muhimu zaidi.Katiba bila political will is useless.Hayati Magufuli alifanya wonders na Katiba ya mwaka 1977.
Hicho Chama kitawezaje kupata hata mbunge kwa mazingira ya kisiasa ya Tanzania aliyoyaacha Magufuli, achilia mbali kuingia IkuluPolitical will ndilo jambo muhimu zaidi.Katiba bila political will is useless.Hayati Magufuli alifanya wonders na Katiba ya mwaka 1977.
Mh,wewe unaishi Tanzania kweli?Ok,wale wale waliomuombolezea msiba wake,ndio hao hao watakao mchagua 2025 kupitia Umoja Party. Anyway,tusubiri,this is a developing story.Hicho Chama kitawezaje kupata hata mbunge kwa mazingira ya kisiasa ya Tanzania aliyoyaacha Magufuli, achilia mbali kuingia Ikulu
Hujaelewa .Mh,wewe unaishi Tanzania kweli?Ok,wale wale waliomuombolezea msiba wake,ndio hao hao watakao mchagua 2025 kupitia Umoja Party. Anyway,tusubiri,this is a developing story.
Kuhusu Wabunge watapatikana kutoka CCM na kwingineko.Tunataka umoja katika nchi yetu,walionacho na wasionacho.Tunataka chama kinachotawala kiwe cha wote,walio nacho na wasio nacho;wakulima na wafanya kazi;Wamachinga na Bobaboda.
Mama yuko KWA beberu anakula bataWatanzania wote lazima tuwe wamoja na tushirikiane katika kuiletea nchi yetu maendeleo.Anayeshirikiana na mabeberu katika njia yeyote ile kuturudisha nyuma,huyo si mwenzetu.
Hivi kuua ni falsada eenhe?Chama chochote kinachounga mkono falisafa za JPM, nitakuwa mwanachama wake
Ila hili suala la kuteka na kuua mbona lipo kwenye hii nchi toka enzi za mwalimu, na lipo duniani kote.Wonders zipi? Za kuteka watu na kuwaua. Na kujifanya yet ndio kila kitu? Wonders za watu wasiojulikana?