Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Damu zipi,hizo picha za Kivu na CAR.Anyway,tunachosena ni hiki tushirikiane wote kuiletea nchi yetu maendeleo,kusitokee mmoja wetu akawa Covert CIA operative or whatever akatuvuta miguu nyuma,hiyo haitakubalika.
Sawa ila hilo sio kwa kupitia hicho chama cha sukuma gang. Wauaji wakubwa nyie.