Chama kipya chaundwa Tanzania kuendeleza falsafa ya Magufuli

Kwa mshamba kama ww hakuwa mtu wa propaganda, ila kwa watu wastaarabu tunajua yule alikuwa shetani kwenye umbile la binadamu.
Wewe ni mstaarabu unae-sabotage nchi yako kwa kuwa CIA Covert Operator!!!???A very stupid being indeed.Ni Mwafrika mjinga tu kama wewe anayeweza kuwa upande wa mabeberu.
 
Wewe ni mstaarabu unae-sabotage nchi yako kwa kuwa CIA Covert Operator!!!???A very stupid being indeed.Ni Mwafrika mjinga tu Kama wewe anayeweza kuwa upande wa mabeberu.

Nimekuuliza wazungu wanafuata nini hapa ambacho kimeshindwa kumaliza umaskini wetu, sioni kama una jipya zaidi ya kuongea upuuzi wa propaganda uchwara za yule dhalimu aliyeko jehenamu.
 
Ndio maana nimesema you are stupid and very ignorant kama hujui Wazungu wanafuata nini Tanzania.Nyerere once said,"you must be rough with wrong doers," and that is what Magufuli did,and that is what I hope Umoja Party will do.
 
Hao wazungu ndio mama Samia kaenda kuwashawishi waje kutalii. Na serikali yote inawaomba waje wawekeze. Sasa zile siasa zenu na yule mpuuzi wenu ndio mmelishana, kisha mnajitokeza mbele ya wanaume kuongea utoto. Kamuambie Mama Samia aache kushawishi wazungu kuja maana sukuma gang mnaweza kutalii na kuwekeza.
 
Si ajabu ccm imetengeneza tawi, kwa kua wameona mama hafanyi kile ambacho magu alikua anakifanya na kunaweza kupelekea kukosa kura kwa waliokua upande wa magu.

Kwahiyo wameona ni bora waunde copy yao ili kuvuruga na kuzipiga bao idea za vyama vingine kumtumia magu ili kujizolea kura kwa wachache waliomkubali.

Bado sina imani na Umoja party.
Hayati Mwalimu Nyerere
alisema upinzani wa kweli utatoka CCM!This is the time.
 
Ndio maana nimesema you are stupid and very ignorant kama hujui Wazungu wanafuata nini Tanzania.Nyerere once said,"you must be rough with wrong doers," and that is what Magufuli did,and that is what I hope Umoja Party will do.

Hizi siasa za kipuuzi za post colonial ndio bado mnahuburi karne hii ya science and technology. Kwa ushamba wenu mlikuwa mnaona ni bonge ya siasa kumbe ni kulazimisha kila mtu awe maskini kama nyie. Makhanithi wakubwa nyie.
 
Hayati Mwalimu Nyerere
alisema upinzani wa kweli utatoka CCM!This is the time.

Karne ya 21 hii bado unatumia filosofia za watu wa karne iliyopita, halafu ndio mnatarajia kupata wanachama wa kizazi hiki kwa mitazamo outdated kama hii!
 
Nimekuuliza wazungu wanafuata nini hapa ambacho kimeshindwa kumaliza umaskini wetu, sioni kama una jipya zaidi ya kuongea upuuzi wa propaganda uchwara za yule dhalimu aliyeko jehenamu.
Nimesema wazi,kama hujui Wazungu wanafuata nini Tanzania wewe ni mpumbavu,you are untrainable,sina haja ya kupoteza muda wangu kwako kuku-train.
 
Hizi siasa za kipuuzi za post colonial ndio bado mnahuburi karne hii ya science and technology. Kwa ushamba wenu mlikuwa mnaona ni bonge ya siasa kumbe ni kulazimisha kila mtu awe maskini kama nyie. Makhanithi wakubwa nyie.
A typical CIA operator comment!
 
Nimesema wazi,kama hujui Wazungu wanafuata nini Tanzania wewe ni mpumbavu,you are untrainable,sina haja ya kupoteza muda wangu kwako kuku-train.

Wazungu wamejaa kila kona hapa nchini wakiindesha miradi mbalimbali na wako kihalali kwa mujibu wa sheria za nchi. Sasa huu utoto wako unaweka hapa sijui unautoa wapi.
 
Karne ya 21 hii bado unatumia filosofia za watu wa karne iliyopita, halafu ndio mnatarajia kupata wanachama wa kizazi hiki kwa mitazamo outdated kama hii!
Tindo JF ambapo CIA operators mpo,sio representative of Tanzania.You are living in an illusion.Tanzanians love Magufuli,maombolezo yake proved it.Hakuna kiongozi ambaye ameshawahi kuombolezewa kama JPM.Kama hii haikupi the whole truth,you are indeed stupid.
 
Wazungu wamejaa kila kona hapa nchini wakiindesha miradi mbalimbali na wako kihalali kwa mujibu wa sheria za nchi. Sasa huu utoto wako unaweka hapa sijui unautoa wapi.
Tindo naomba tusitishe huu mjadala,I am arguing with a fool.Ni rafiki gani anayekuingiza kwenye mikopo,huku akisema ni msaada.Wake up you fool.So Wazungu uwepo wao hapa nchini na kushiriki katika miradi proves their worthless.Aisee,si ndio ndio wanashiriki sasa moja kwa moja katika kutuibia!Narudia,you are not my match,end of dialogue.
 
Labda nikuulize swali.Hivi kama wewe ungekuwa Rais,halafu unahangaika kuwaletea wananchi wako maendeleo.Then watu fulani kwa ujinga tu na uchumia tumbo from nowhere,wanashirikiana na mabeberu ku-sabotage maendeleo ya taifa,wewe kama Rais ungewafanyaje?And you have all the evidence.Naomba unijibu tafadhali.
First acha kua brainwashed mzee, hakuna raia yeyote nchini ambae atazuia Rais asifanye maendeleo. Pia issue ya Lisu alitoa tahadhari issue ya makinikia coz ilikua an agreement kisheria, nan alizuia asijenge madaraja, bwawa, reli au daraja la busisi? Wengi hamuelew ambacho hakutaka ni wale watu ambao ni wakosoaji na wenye ushawishi!!
 
Mtuambie kwanza Ben saa nane alizikwa wapi na meko
Kigogo alisema meko alimuua magogoni kwa mikono yake mwenyewe
Kama Kigogo aliona Ben Sanane lakini akashindwa kuona alioozikwa, basi Kigogo na wewe mfuasi wake mtakuwa wajinga wa mwanzo wa nchi hii.
 
First acha kua brainwashed mzee, hakuna raia yeyote nchini ambae atazuia Rais asifanye maendeleo. Pia issue ya Lisu alitoa tahadhari issue ya makinikia coz ilikua an agreement kisheria, nan alizuia asijenge madaraja, bwawa, reli au daraja la busisi? Wengi hamuelew ambacho hakutaka ni wale watu ambao ni wakosoaji na wenye ushawishi!!
Don,Don nimekuwa brainwashed na nani na kwa maslahi yapi?Don wakeup.Don hao wakosoaji si walikuwa wanatumiwa na mabeberu ili wananchi ambao hawajitambui na sio diagnostic kama wewe wamuone JPM ni mbaya....!Don,CIA Covert Operators wamo JF na Tanzania kwenye institutions zote,and Lissu is one of them.
 
Back
Top Bottom