Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Very good! Kabla ya yote niwekee evidence wa madai yako, pili mimi sio muumin wa kufanyia kazi some theories, nasema kile ambacho kilikua activated practically. Nan alikua anaaminisha raia wamuone JPM mmbaya? JPM yapo yake alifanya good 🙏 yapo ambayo alifanya worse, siwez mchukia mtu kwa kuambiwa tu mtu mtu mwingine then nianze mchukia!! Halafu fungueni akili mzee hii biashara ya kuona alikua anapigwa vita na mabeberu, mzungu akikumaindi hutoboi.Don,Don nimekuwa brainwashed na nani na kwa maslahi yapi?Don wakeup.Don hao wakosoaji si walikuwa wanatumiwa na mabeberu ili wananchi ambao hawajitambui na sio diagnostic kama wewe wamuone JPM ni mbaya....!Don,CIA Covert Operators wamo JF na Tanzania kwenye institutions zote,and Lissu is one of them.