Tetesi: Chama kisha pokea milion 100 za awali katika ahadi ya Ikulu

Tetesi: Chama kisha pokea milion 100 za awali katika ahadi ya Ikulu

Kama ni pesa kwa ajili ya kujenga demokrasia ni Jambo jema hasa ikizingatiwa demokrasia ni gharama.
Unatumia kanuni ipi ya kugawa hizo.mbona hajaita vyama vyote tanzania,yaani huyu mpe yule muluke.hiyo ni rushwa.inashangaza sana kuona watu wanashangilia rushwa kwakuwa imetoka juu.
Inapendeza kuona kuna vyama nje ya CCM kitakuwa na uwezo wa kuweka wagombea nchi nzima kwa nafasi zote.

Hii itapunguza maneno kwamba wagombea wa vyama vya upinzañi wananyimwa fomu na kuzuiwa kumbe sababu kubwa ni ukata ndio maana wanashindwa kusimamisha wagombea nchi nzima.
Mkuu hiyo ni rushwa.kuna vyama vingi tanzania iweje aite baazi na afanye hivyo tena kwa sili.
kwa sheria ipi,imemfanya agawe hizo pesa bunge linajua?na hizo ni tetesi kama act,cuf na nccr wamepata kiasi hicho yeye mwenyewe kaweka kibindoni kiasi gani?.kama kaamua kuita vyama vya siasa ilipaswa kuviita vyote,kama kaviita baadhi ina maana kuna mkakati maalum na hivyo vyama.na wengine hawausiki.
mi naona wanajiangaisha kama hiyo miaka mitano aliyo pewa angeitumia vizur. kuwa wananchi wanatakanini niwafanyie asinge sumbuka hivyo.huku mtaani hatumu elewi, alipo tutoa na tulipo ni hatari.anatupeleka shimoni.
 
Kama ni pesa kwa ajili ya kujenga demokrasia ni Jambo jema hasa ikizingatiwa demokrasia ni gharama.

Inapendeza kuona kuna vyama nje ya CCM kitakuwa na uwezo wa kuweka wagombea nchi nzima kwa nafasi zote.

Hii itapunguza maneno kwamba wagombea wa vyama vya upinzañi wananyimwa fomu na kuzuiwa kumbe sababu kubwa ni ukata ndio maana wanashindwa kusimamisha wagombea nchi nzima.
Mkuu ni kweli huna uelewa kiasi hiki au basi tu ...kwa sasa Tumbo limeuzidi Ubongo!
 
Kama ni pesa kwa ajili ya kujenga demokrasia ni Jambo jema hasa ikizingatiwa demokrasia ni gharama.

Inapendeza kuona kuna vyama nje ya CCM kitakuwa na uwezo wa kuweka wagombea nchi nzima kwa nafasi zote.

Hii itapunguza maneno kwamba wagombea wa vyama vya upinzañi wananyimwa fomu na kuzuiwa kumbe sababu kubwa ni ukata ndio maana wanashindwa kusimamisha wagombea nchi nzima.
Sijui kama hili ni kweli...ila kuna taratibu na si kuitwa
 
Ndio maana zile trilioni 1.5 zilipotelea hewani halafu wakamalizia hasira zao kwa CAG, sasa huyu waliyemuweka wao sidhani hata kama atathubutu kuuliza hizi za sasa, na safari hii ndio watatupiga zaidi ya ile 1.5 trilion ya mwanzo.

Kumbe walimuondoa CAG ili wapate nafasi ya kuchezea pesa za walipa kodi vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapo hakuna shida kam pesa inaenda kukuza chama ili kiwe shindani, pia hiyo pesa itatumika hapa Tanzania na kuongeza mzunguko, wanufaika ni watanzania,
pia mkumbuke zamani kuna chama kilipokea pesa kutoka kwa wafadhili kina sabodo kikaua, ni muda sasa na NCCR nayo ikuwe, kinachotakiwa ni baada ya matokeo kama ilitumika vizuri na sio mifukoni kwa watu, kwa hiyo swala la kugawa kula ni hisani ya wananchi na siyo mawazo ya mtu mmoja.
 
Kwa hiyo ndio kisingizio chenu hiki?!

Sasa kama ni kujenga demikrasia kwanini mpeane sirini bila taarifa yoyote rasmi?

Nyie ni wezi wa taifa halafu mnajidai wazalendo, bilioni 1.3 zinatosha kabisa kuwachimbia visima huko vijijini angalau wapate maji yenye nafuu, sio kunywa matope wanayokunywa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu anakuja mtendaji wa kijiji ananiambia anataka nitoe pesa yangu kuchangia ujenzi wa madarasa ya shule ya sekondari ya serikali ili watoto walioko majumbani waweza nao kuanza masomo ya form l
 
Hizi habari ni za ndani ya Chama sio Ikulu.
Unjustifiable writing - ndani kule hakukuwa na officials zaidi ya Usalama (walinzi wa rais) - kupiga ramuli hakukusaidii badala yake jikiteni kwenye kuimarisha umoja wenu

Unachofanya ni kufitinisha wapinzani wenzako kitu ambacho hakikuongezei huruma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu naendelea kuwaletea Data za nini kilichojiri pale Ikulu siku mkuu kakutana na NCCR, ACT na CUF.

Mtu wangu wa karibu sana ambaye ni kuiongozi wa juu wa moja ya Chama kilichoitwa Ikulu kanitonya tena kwamba kwa Chama chao wameahidiwa 1.3 Billioni za kampeni ambazo zitatumika kusimika wagombea nchi nzima.

Kaniambia kwa mujibu wa bosi wake hawajaahidiwa majimbo ya bure ila watapewa pesa za kusimika wagombea nchi nzima kuanzia ngazi ya Urais hadi Udiwani.

Na wao tayari wameishapewa Milion 100 za kujenga Chama na nyingine watapewa kadri siku zinavyoenda mbele.

Pia hajui vyama vingine viwili vimeahidiwa sh ngapi kila kimoja maana waliitwa kila mmoja kivyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa ulitaka waitwe kwa pamoja km mbowe anavyotaka ili akabebwe na wenzake ktk hoja? Vyama vya siasa kila chama kilianzishwa kivyake! Nasera zake! Nakila chama kina hoja zake! Sasa mbowe kutaka eti mpaka waende wote nikichekesho! CHADEMA KIMEISHIWA HOJA.
Wewe mmeitwa na mkuu wa nchi tena kila mtu kivyake! Huoni hyo ndo fulsa yakudai chako unachotaka.

NAOMBA TUPATE CHAMA MBADARA CHA SIASA ! CHADEMA IMEKUFA INASUBIRI KUZIKWA.
 
CCM ndio chama pekee chenye Nia ya dhati ya kujenga demokrasia nchi na CCM kutumia mapato yake kutoka na vitega uchumi vyake ili kujenga demokrasia si jambo gumu.

Wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa nilisema kuwa wapinzani walisusa kutokana na ukata na si kingine mkabisha leo Mbatia kathibitisha kikwazo Cha wapinzani kutofanya michakato ya kidemokrasia ni ukata.

Msione aibu kuomba msaada wa kifedha CCM ili kujenga vyama vyenu, CCM haina tatizo Kama pesa inazotoa zitajenga demokrasia ya kweli.

Rais Magufuli hawezi kutumia pesa za walipa Kodi kufanya kitu hicho.
Ivi akili mlipeka wapi nyie watu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitaka waitwe kwa pamoja km mbowe anavyotaka ili akabebwe na wenzake ktk hoja? Vyama vya siasa kila chama kilianzishwa kivyake! Nasera zake! Nakila chama kina hoja zake! Sasa mbowe kutaka eti mpaka waende wote nikichekesho! CHADEMA KIMEISHIWA HOJA.
Wewe mmeitwa na mkuu wa nchi tena kila mtu kivyake! Huoni hyo ndo fulsa yakudai chako unachotaka.

NAOMBA TUPATE CHAMA MBADARA CHA SIASA ! CHADEMA IMEKUFA INASUBIRI KUZIKWA.
Hoja ya Chadema umeitoa wapi ?
 
Alikotutoa ni kuzuri kuliko tulipo sasa,tunakopelekwa ni Giza hivyo hakuna awezaye kufahamu tunakoelekea.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa tukisema tunapotea/tumepotea njia mnataka hata kutuua.
Endapo kisemwacho kikawa na hata ukweli kidogo, hiyo ni Rushwa na sheria za gharama za uchaguzi itekelezwe kila wakati.
 
Wakuu naendelea kuwaletea Data za nini kilichojiri pale Ikulu siku mkuu kakutana na NCCR, ACT na CUF.

Mtu wangu wa karibu sana ambaye ni kuiongozi wa juu wa moja ya Chama kilichoitwa Ikulu kanitonya tena kwamba kwa Chama chao wameahidiwa 1.3 Billioni za kampeni ambazo zitatumika kusimika wagombea nchi nzima.

Kaniambia kwa mujibu wa bosi wake hawajaahidiwa majimbo ya bure ila watapewa pesa za kusimika wagombea nchi nzima kuanzia ngazi ya Urais hadi Udiwani.

Na wao tayari wameishapewa Milion 100 za kujenga Chama na nyingine watapewa kadri siku zinavyoenda mbele.

Pia hajui vyama vingine viwili vimeahidiwa sh ngapi kila kimoja maana waliitwa kila mmoja kivyake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaogopa kufanya uchaguzi akiwa yeye ndiyemgombe peke yake?? Si alisema hataki upinzani hadi 2020?? Nini kimebadilika hadi anaanzakuhonga wapinzani wagombee udiwani na ubunge??
 
Back
Top Bottom