Tetesi: Chama kisha pokea milion 100 za awali katika ahadi ya Ikulu

Mkuu hiyo ni rushwa.kuna vyama vingi tanzania iweje aite baazi na afanye hivyo tena kwa sili.
kwa sheria ipi,imemfanya agawe hizo pesa bunge linajua?na hizo ni tetesi kama act,cuf na nccr wamepata kiasi hicho yeye mwenyewe kaweka kibindoni kiasi gani?.kama kaamua kuita vyama vya siasa ilipaswa kuviita vyote,kama kaviita baadhi ina maana kuna mkakati maalum na hivyo vyama.na wengine hawausiki.
mi naona wanajiangaisha kama hiyo miaka mitano aliyo pewa angeitumia vizur. kuwa wananchi wanatakanini niwafanyie asinge sumbuka hivyo.huku mtaani hatumu elewi, alipo tutoa na tulipo ni hatari.anatupeleka shimoni.
 
Mkuu ni kweli huna uelewa kiasi hiki au basi tu ...kwa sasa Tumbo limeuzidi Ubongo!
 
Sijui kama hili ni kweli...ila kuna taratibu na si kuitwa
 

Hapo hakuna shida kam pesa inaenda kukuza chama ili kiwe shindani, pia hiyo pesa itatumika hapa Tanzania na kuongeza mzunguko, wanufaika ni watanzania,
pia mkumbuke zamani kuna chama kilipokea pesa kutoka kwa wafadhili kina sabodo kikaua, ni muda sasa na NCCR nayo ikuwe, kinachotakiwa ni baada ya matokeo kama ilitumika vizuri na sio mifukoni kwa watu, kwa hiyo swala la kugawa kula ni hisani ya wananchi na siyo mawazo ya mtu mmoja.
 
Halafu anakuja mtendaji wa kijiji ananiambia anataka nitoe pesa yangu kuchangia ujenzi wa madarasa ya shule ya sekondari ya serikali ili watoto walioko majumbani waweza nao kuanza masomo ya form l
 
Hizi habari ni za ndani ya Chama sio Ikulu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ulitaka waitwe kwa pamoja km mbowe anavyotaka ili akabebwe na wenzake ktk hoja? Vyama vya siasa kila chama kilianzishwa kivyake! Nasera zake! Nakila chama kina hoja zake! Sasa mbowe kutaka eti mpaka waende wote nikichekesho! CHADEMA KIMEISHIWA HOJA.
Wewe mmeitwa na mkuu wa nchi tena kila mtu kivyake! Huoni hyo ndo fulsa yakudai chako unachotaka.

NAOMBA TUPATE CHAMA MBADARA CHA SIASA ! CHADEMA IMEKUFA INASUBIRI KUZIKWA.
 
Ivi akili mlipeka wapi nyie watu???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hoja ya Chadema umeitoa wapi ?
 
Alikotutoa ni kuzuri kuliko tulipo sasa,tunakopelekwa ni Giza hivyo hakuna awezaye kufahamu tunakoelekea.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa tukisema tunapotea/tumepotea njia mnataka hata kutuua.
Endapo kisemwacho kikawa na hata ukweli kidogo, hiyo ni Rushwa na sheria za gharama za uchaguzi itekelezwe kila wakati.
 
Anaogopa kufanya uchaguzi akiwa yeye ndiyemgombe peke yake?? Si alisema hataki upinzani hadi 2020?? Nini kimebadilika hadi anaanzakuhonga wapinzani wagombee udiwani na ubunge??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…