Tetesi: Chama kisha pokea milion 100 za awali katika ahadi ya Ikulu

Ninaloweza kuweka hapa kwa uhakika kabisa ni kwamba, sioni kwa njia yoyote Maalim Seif akipewa kitita akagombee uRais Zanziba.

Linalowezekana kwake ni kupewa umaKamo..., sijui kama hili aliahidiwa na kulikubali!
 
Mbatia ni mtu mnafiki sana namjua tangia tuko shule,,, anayofanya wala sishangai siyo mtu wa kuaminika namjua vizuri sana ni mlafi mno
 
Mkuu pesa watakazo pewa ni kwa ajiri ya Bara kupambana na CDM,Na nazani pesa za awali walisha pewa tiyari milion 100
Ninaloweza kuweka hapa kwa uhakika kabisa ni kwamba, sioni kwa njia yoyote Maalim Seif akipewa kitita akagombee uRais Zanziba.

Linalowezekana kwake ni kupewa umaKamo..., sijui kama hili aliahidiwa na kulikubali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila Mtanzania anayefuatilia siasa za Tanzania anajua ya kwamba ukiacha CCM, hakuna chama chochote cha upinzani kilichowahi kuweka wagombea wa Udiwani, Ubunge na Urais kwa nchi nzima. Hata mwaka 2015 Chadema ikiwa on fire haikuweka wagombea ubunge kwenye majimbo ya uchaguzi 70 mojawapo likiwa la nyumbani Nkenge. Na mojawapo ya sababu ya kutoweka wagombea nchi nzima ni uwezo mdogo wa pesa za kufanya hivyo.

Sasa, kama Ikulu imeamua kuvisaidia vyama ili viweze kuweka wagombea nchi nzima ni jambo jema na la kusifiwa na wapenda demokrasia nchini, Afrika na duniani kwa ujumla!
 
Bila shaka fedha hizo zimetoka kwa masharti kwamba Membe asipewe nafasi kutimiza ndoto yake kupitia vyama hivyo.
 
We taahira kweli !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unjustifiable writing - ndani kule hakukuwa na officials zaidi ya Usalama (walinzi wa rais) - kupiga ramuli hakukusaidii badala yake jikiteni kwenye kuimarisha umoja wenu

Unachofanya ni kufitinisha wapinzani wenzako kitu ambacho hakikuongezei huruma
Basi kama ndiyo hivyo Mbatia mwenyewe kavujisha. Hapo vipi? Au hujaelewa nini maana ya matumizi ya dola kubaki madarakani?
 
Sasa kaka hizo zimetolewana bunge gani? Siamini huu ujinga kuwa ni kweli.
Mambo mangapi hufanyika bila ya bunge kuhusishwa? Japo hii habari haina uthibitisho lakini kusema haiwezekani kwa sababu bunge halijathibitisha that's a very stupid excuse kwani kumeshuhudiwa projects nyingi kubwa zikianzishwa bila ya ushirikishwaji wa bunge.
 
Kwa kadiri inavyotumika nguvu kubwa kuiua CHADEMA ndio hiki chama kinavyozidi kujikita mioyoni mwa Watanzania

Jr[emoji769]


Hebu naomba kuelimishwa kuhusu TL huko nje anafanya nini? Je aanajustify kitu gani Je impact yake kwenye democrasia ni hasi au chanya? Au ni bora apewe security assuarence arudi kula viazi vya Ikungi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…