Chama ni mchezaji wa game ndogo

Chama ni mchezaji anayecheza taratibu lakini kwa akili nyingi. Mechi zenye mbio sana na pressing kubwa haziwezi.
Anataka awe kama moloko anakunja na bukta kabisa kama anakimbia marathon na wamemuongeza na kisinda
 
Chama ni kama mwenge tu, unakimbia humu humu nchini tu, hata ukiangaza kamwanga kake kanaishia Malawi
 
Chama alietoa assist zote za magoli leo dhidi ya Big Bullets
 
 
Chama aliyewagalagaza mabeki wa Yanga siku wanapigwa 4 , 1 kombe la ASFC na yeye akapachika 1

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo chama ni wakawaida sana?fei toto akomae akacheze nje ya tz tuone huko
 
Daah moments km hizi Uto hawajawahi experience kabisa.
 
Msamehe utopolo ana stress za tozo.
 
Ukitaka starehe soka bongo...mwangalie CHAMA...
wengine watasifiwa kwa mengine ..kufunga ,, kukimbia nk.

Lakini taste za akina Gaucho ,zidane, iniesta, Okocha n..k....ziko kwa CHAMA..

Mengine n roho za kishabiki kukataa ukwelii ...

Viongozi simba MPENI CHAMA heshima yake
 
Wana lunyasi tulishakubaliana, mada za kiwaki tunazikaushia hatusemi kitu.

Mengine wanaanzisha kutuchoresha, hivi hamjawashtukiaga tu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…