pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
Anataka awe kama moloko anakunja na bukta kabisa kama anakimbia marathon na wamemuongeza na kisindaChama ni mchezaji anayecheza taratibu lakini kwa akili nyingi. Mechi zenye mbio sana na pressing kubwa haziwezi.