Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

Chama tawala chini ya Masisi chapoteza madaraka katika uchaguzi Botswana baada ya miaka 58

Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka 60,

Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia katika sanduku la kura.

----
Voters in Botswana have rejected the country’s long-serving governing party in a result that marks a political earthquake in the diamond-rich southern African nation.

The Botswana Democratic Party (BDP) – in power since independence in 1966 – has won only one parliamentary seat as of early Friday morning, early election results show.

President Mokgweetsi Masisi has accepted defeat, saying that it was clear his BDP party had lost "massively".

“I will respectfully step aside and participate in a smooth transition process ahead of inauguration,” Masisi said in a press conference on Friday.
Advertisement

He has urged his supporters to remain calm and rally behind the new government.

The Umbrella for Democratic Change (UDC), led by human rights lawyer Duma Boko, has won 25 seats, according to the early tallies.

The party looks set to form the government as it is projected to pass the 31-seat

The Botswana Patriotic Front (BPF), supported by former President Ian Khama, has secured five seats while the Botswana Congress Party (BCP) has so far won seven seats.

The three opposition parties have together won more than 31 of 61 parliamentary seats, meaning the BDP has no chance of winning a majority.

As MPs elect the president in Botswana, Boko is on course to become the next head of state once parliament meets for the first time.

UDC supporters have been celebrating in the capital Gaborone and other parts of the country.

Official results are expected to be announced by the Independent Electoral Commission later Friday.

Despite overseeing a dramatic change in Botswana, recent poor economic growth and high unemployment dented the BDP’s popularity.

Masisi – in office since 2018 – led the BDP’s failed campaign.

The president ran on a message that his party could bring about “change”, but not enough voters were convinced the BDP could do what was needed for the country.
Ccm hawashindi, huwa wanadanganya matokeo
 
FRELIMO nayo ilitakiwa ifurushwe ili bongo nayo ione kumbe inawezekana kuipumzisha ccm iliyotawala muda mrefu nayo ikatolewa kwa heshima kutumia sanduku la kura. BDP imeonesha njia, ikajipange huenda ikarudi tena uchaguzi ujao
Tatizo huyo mmbadala wa ccm ni Nani?
Kweli tumeichoka ccm ila hatujaichoka Tanzania kwa kuwapa nchi chadema hawana sera kwanza zaid ya fujo
 
Bongo ni kinacho webaba CCM ni wizi wa kura tu lakini nawambia kabisa CCM hawana uwezo wa kushinda kwa halali
We una Kura za wananchi wote?
Ukute hata kura hujawai piga alafu hutak ccm washinde .
Mind set ya wabongo wengi iko kama ww
Hawapig Kura kazi kulalamika
 
Fact..kabisa
Ukiachana na wizi wa kura bongo bado wajinga ni wengii sana
Kuna maeneo ccm inashinda kihalali kbs

Mtaji mkubwa wa ccm ni hao wajinga na bahat mbaya ndio walio wengi kwenye iyo nchi na kuwafanya ccm wawe na uhakik wa kukaa madarakan kwa mda mrefu ujao
 
Bongo ni kinacho webaba CCM ni wizi wa kura tu lakini nawambia kabisa CCM hawana uwezo wa kushinda kwa halali
Siyo wizi wa kura tu bali pia wabongo hatuna ujasiri.watu hatujitokezi kwa wingi kupiga kura.japa mtaani kwetu vijana lukuki hawapigi kura wamekata tamaa ati hawaoni haja ya kufanya hivyo.wamewaachia akina mama kupiga kura.ccm mtaji wao mkubwa ni akina mama sababu wamegundua vijana hawapigi kura.nadhani elimu bado inatakiwa tena ya nyumba kwa nyumba.wengine ikifika wakati wa kupiga kura wananunuliwa mataputapu na kitimoto (wanagongwa)halafu wanauza haki yao ya msingi.
 
Inaripotiwa chama tawala cha BDP chini ya Rais Masisi nchini Botswana kimepoteza madaraka kwa Upinzani katika uchaguzi mkuu nchini humo na hatimaye kuhitimisha utawala wake wa miaka 60,

Hiyo itamfanya Masisi kuwa Rais wa kwanza kutawala kwa awamu moja tu baada ya kufurushwa na raia katika sanduku la kura.

----
Voters in Botswana have rejected the country’s long-serving governing party in a result that marks a political earthquake in the diamond-rich southern African nation.

The Botswana Democratic Party (BDP) – in power since independence in 1966 – has won only one parliamentary seat as of early Friday morning, early election results show.

President Mokgweetsi Masisi has accepted defeat, saying that it was clear his BDP party had lost "massively".

“I will respectfully step aside and participate in a smooth transition process ahead of inauguration,” Masisi said in a press conference on Friday.
Advertisement

He has urged his supporters to remain calm and rally behind the new government.

The Umbrella for Democratic Change (UDC), led by human rights lawyer Duma Boko, has won 25 seats, according to the early tallies.

The party looks set to form the government as it is projected to pass the 31-seat

The Botswana Patriotic Front (BPF), supported by former President Ian Khama, has secured five seats while the Botswana Congress Party (BCP) has so far won seven seats.

The three opposition parties have together won more than 31 of 61 parliamentary seats, meaning the BDP has no chance of winning a majority.

As MPs elect the president in Botswana, Boko is on course to become the next head of state once parliament meets for the first time.

UDC supporters have been celebrating in the capital Gaborone and other parts of the country.

Official results are expected to be announced by the Independent Electoral Commission later Friday.

Despite overseeing a dramatic change in Botswana, recent poor economic growth and high unemployment dented the BDP’s popularity.

Masisi – in office since 2018 – led the BDP’s failed campaign.

The president ran on a message that his party could bring about “change”, but not enough voters were convinced the BDP could do what was needed for the country.
Hata hivyo chama tawala cha Botswana, BPD, kinastahili pongezi kwa kuendesha nchi kwa misingi ya utawala bora wakati wote, na kuheshimu sana demokrasia.

Nakumbuka kuna wakati raia mmoja wa Botswana aliulizwa na mtangazaji wa BBC, kwa nini Botswana imekuwa na kiwango kizuri cha maendeleo tofauti na nchi nyingi za Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara? Yeye alijibu kwa kusema kuwa, tofauti na nchi nyingi za Afrika, Botswana imekuwa na bahati wakati wote ya kuwapata viongozi wazuri. Hiyo ndiyo sababu pekee ya Botswana kuwa na hatua nzuri ya maendeleo.

Botswana is expected to reach 6775.00 USD by the end of 2024.

Tanzania's GDP per capita is expected to be $1,139 by end of 2024.

Ukiacha Afrika Kusini, ni Botswana na Namibia pekee, ndizo nchi l ambazo zipo kusini mwa jangwa la Sahara, lakini hazipo kwenye kundi la nchi maskini.

Utawala mzuri na kuheshimu misingi muhimu ya demokradia, imeisaidia sana Botswana, tofauti na mataifa kama Tanzania ambapo utawala bora imekuwa ni tatizo kubwa kuliko yote, katika yale yanayosababisha nchi kuwa duni.
 
Botswana's ruling party loses election, ending 58-year rule​

By Brian Benza
November 1, 202411:19 AM GMT+2Updated 22 min ago

Item 1 of 3 Botswana's President Mokgweetsi Masisi addresses a press conference to concede defeat after the October 30 general elections, where the Botswana Democratic Party (BDP) lost elections to the opposition coalition Umbrella for Democratic Change (UDC), in Gaborone, Botswana November 1, 2024. REUTERS/Thalefang Charles
[1/3]Botswana's President Mokgweetsi Masisi addresses a press conference to concede defeat after the October 30 general elections, where the Botswana Democratic Party (BDP) lost elections to the opposition coalition Umbrella for Democratic Change (UDC), in Gaborone, Botswana November 1, 2024.... Purchase Licensing Rights
, opens new tab Read more

  • Summary
  • President concedes defeat based on early results
  • Opposition leader Duma Boko on track to win
  • BDP party has been in power since 1966
  • Youth fed up with high unemployment, hardship
GABORONE, Nov 1 (Reuters) - Botswana's President Mokgweetsi Masisi conceded defeat on Friday after preliminary results showed his party had lost its parliamentary majority by a landslide in this week's election, ending nearly six decades in power.
With more than half of constituencies reporting, the opposition coalition Umbrella for Democratic Change (UDC) had a significant lead, putting its leader, lawyer Duma Boko, on track to win the presidency.
 
CCM jifunzeni demokrasia kwa wenzetu.Matatizo hutokea tu pale Ruling party inapong'ang'ania wakati hawana support ya wananchi. Mfano mwingine ni kule Mozambique.
 
Tz hakuna upinzani kabisa bali ni vurugu tu
Hawako serious kabisa na kuja kushika nchi
Huwezi kila leo unasimama na kuendeleza malumbano badala ya kumwaga sera
Wenzetu upinzani hata waziri kivuli akuongea unajua kweli hapa kuna mabadiliko wanataka yafanyike
 
Upinzani umeshafanya kazi kubwa ni swala tu la watu watanzania wengi kupenda kufatilia mambo yasiyo na tija
 
Vurugu gani? nini chanzo cha vurugu..?
Ni kwa wasipenda kabisa mabadiliko yafanyike iwe ndani au nje
Hata kama kuna mabaya yamefanyika upande wa serikali ni bora kuyapinga kwa hoja na takwimu maana ukitaka takwimu unazipata
Ila ukiwa na jazba nao lazima ukose focus na kuanza kelele
Ni bora kuwabana kwa hoja tu
 
1730456610460.png

Vyama vya Upinzani vimefanikiwa kukiondoa Chama Tawala cha BDP kilichotawala nchi hiyo kwa miaka 58 kuanzia mwaka 1966, ingawa awali kilitarajiwa kingeshinda Uchaguzi huo.

Chama kikuu cha upinzani cha Umbrella for Democratic Change (UDC) kimeongoza kwa kiasi kikubwa katika matokeo hayo na kumfanya kiongozi wake, Duma Boko kuwa na nafasi ya kutangazwa kuwa Rais mpya akiwa amegombea kwa awamu tatu tofauti.

Kwa mujibu wa Katiba ya Botswana, ili chama kiweze kutoa nafasi ya Urais, kinatakiwa kupata Viti 31 vya Wabunge kati ya 61, pia kitaweza kuteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika nchi hiyo yenye takriban raia Milioni 2.5.

Botswana’s President Mokgweetsi Masisi conceded defeat in the general election Friday, in a seismic moment of change for the country that ended the ruling party’s 58 years in power since independence from Britain in the 1960s.

Masisi’s concession came before final results were announced, with his Botswana Democratic Party trailing in fourth place in the parliamentary elections in what appeared to be a humbling rejection by voters and a landslide victory for the main opposition party.

The opposition Umbrella for Democratic Change held an overwhelming lead in the partial results, making its candidate, Duma Boko, the favorite to become president of a southern African country that is one of the world’s biggest producers of mined diamonds.

Masisi said he had called Boko to inform him he was conceding defeat and said that Boko was now effectively the president-elect.

Final results were expected to be announced later Friday, but the BDP had no path to a majority.

“I concede the election,” Masisi said in an early-morning press conference two days after the vote. “I am proud of our democratic processes. Although I wanted a second term, I will respectfully step aside and participate in a smooth transition process.”

Over 50 countries go to the polls in 2024

The year will test even the most robust democracies. Read more on what’s to come here.
Take a look at the 25 places where a change in leadership could resonate around the world.
Keep track of the latest AP elections coverage from around the world here.
Masisi’s BDP dominated politics in Botswana for nearly six decades, since independence in 1966. The nation of just 2.5 million people will now be governed by another party for the first time in its democratic history.

So far, the Umbrella for Democratic Change has won 25 out of the 61 parliamentary seats decided by voters, according to the official partial count. It needs 31 to clinch a majority. The Botswana Congress Party has seven seats, the Botswana Patriotic Front five seats, and the ruling BDP just three.

“We lost this election massively,” Masisi said.

Botswana has been held up as one of Africa’s most stable democracies and is regarded as a post-colonial success story having built one of the highest standards of living in the region through an economy that largely relies on diamonds. Botswana is the world’s second biggest natural diamond producer behind Russia and has been responsible for all the biggest diamonds found in the last decade.

But Botswana faces new challenges and the mood for change became evident as a downturn in the global demand for diamonds badly impacted the economy, becoming the central issue for the campaign.

Unemployment rose to more than 27% this year, and significantly higher for young people, as the government saw a sharp decrease in revenue from diamonds. Masisi and his party had faced criticism for not having done enough to diversify the economy and the nation has been forced to adopt recent austerity measures.

Even the BDP conceded throughout its campaign that policy change was needed and tried to convince voters it was capable of leading the country out of its economic troubles. Diamonds account for more than 80% of Botswana’s exports and a quarter of its GDP, according to the World Bank.

Masisi said the country had hardly sold any diamonds since April through its Debswana company, which the government jointly owns with diamond miner De Beers.

Botswana’s general elections decide the makeup of its Parliament, and lawmakers then choose the president. The party that gains a majority is in position to choose its candidate as president. All five of Botswana’s post-independence presidents have been from the BDP.

Boko is a 54-year-old lawyer and Harvard Law School graduate who also ran in 2014 and 2019. He posted on his official page on X: “Botswana First” with a picture of a UDC campaign poster with the words “Change is Here.”

The BDP was one of the longest-serving parties in Africa still in power and its sharp defeat came as a surprise after what was expected to be a tight race. It followed an equally momentous change in neighboring South Africa, where the long-ruling African National Congress lost its 30-year majority in an election in May and was forced to share power for the first time in a coalition government.

Masisi, a 63-year-old former high school teacher and UNICEF employee, said he had not expected the results and had “not packed a shoe.”
 
Back
Top Bottom