Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari mbaya sana kwa ma CCM
Mimi sina shida na CCM,naelewa wafanyacho na umuhimu wao kwa nchi,ondoa CCM na nchi inakosa balanceUnamuambia nani sasa. Nani wa kukuanzishia kwanini wewe usianzishe tukuunge mkono
Chama Cha Mashangazi kijiandae kisaikolojia
"Wakati tulipokubali mfumo wa vyama vingi, CCM tulihakikisha kwamba hatushindwi."CCM haiwezi kuondoka kwa kutegemea historia ya vyama vingine, CCM itaondoka watanzania wakiamua Kwa dhati.
Katika dunia ya leo ustaarabu kama huo bado uko mbali sana hapa kwetu Tanzania. Katika siasa Tanzania bado tupo karne ya ishirini.CCM haiwezi kuondoka kwa kutegemea historia ya vyama vingine, CCM itaondoka watanzania wakiamua Kwa dhati.
Actually,Ngoja yaje: Tlaatlaah, Lucas Mwashambwa
Actually,
upinzani nchini Tanzania hufanya kazi nzuri zaidi mathalani ya kususa kujiandikisha kupiga kura kwa mfano halisi kwenye uchaguzi wa Serikali za mitaa, halafu baadae zikitolewa takwimu za jumla ya idadi ya waliojiandikisha, wapinzani hao hao ambao hawajajiandikisha hujitokeza kupinga kwa makelele na mayowe mengine sana takwimu hizo🤣
mbaya zaidi,
pamoja na kwamba hawajajiandikisha hata kwenye daftari la wapiga kura kwajili ya uchaguzi mkuu, hujitokeza kwa makelele mengi sana kwenye kampeni japo huwaga hawana sera za kuwavutia wananchi na wapiga kura wengi.
Matokeo yakitoka huwa wanasusa na kuzira, sasa sijui huwa wanategemea muujiza gani 🤣

So nani mwenye shida unamuambia afanye na ili iweje kama wewe hutaki. Acha uzuzuMimi sina shida na CCM,naelewa wafanyacho na umuhimu wao kwa nchi,ondoa CCM na nchi inakosa balance