comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na zinatekelezwa. Sioni mantiki ya ku C/O kero wakati njia ya moja kwa moja ipo.