Champions League last 16: Real Madrid kuivaa PSG; Chelsea kukipiga na Barcelona

Hilo halijalishi, Barcelona hii uipambanishe na Chelsea ya sasa..
!![emoji15] [emoji15]
Tuna wapiga ndani nje
Mgekua bado mko na Costa hapo
Sawa lkn Kwa kumtegemea
hazard pekeake mtatolewa asubuh na
Mapema
 
Hivi Barca huwa mnawaonaje.? Mbona kipindi ndio walikua moto na Messi ndio alikua balaa na tuliwapiga darajani tukaja kudraw Nou Camp tukaenda kuchukua mbele ya Bayern Munich.

Msitubeze bhana. Huu ni mpira
Hzo ndoto zenu za mchana
Peleken pale darajan kwenu

Mnafkir history itajirudia
 
Confirmed: UTD kutinga robo fainali bila ya kutumia nguvu nyingi

Swali la msingi kwenye robo fainali UTD watapangiwa timu gani

GGMU
 

Timu zitakazoenda Quarterfinals

  1. BARCELONA YA KING MESSI
  2. Juventus
  3. Man City
  4. As Roma
  5. Real Madrid
  6. Sevilla
  7. Bayern
  8. Fc Porto
 
FAINALI AC ROMA VS MAN UTD
As Roma ni mteja kwa Man u tunajipigiaga mpaka goli 7 saba wale . weka Bayern hapo au PSG final itanoga. Barcelona simweki huwa wanatuoneaga sana wale
 
Chelsea hawezi kumtoa barca, wakati wote huwa ni anamsumbua tu na barca kupata ushindi hafifu sana ..lakini haitotokea chelsea amtoe barca. PSG anatolewa na R. Madrid
You must be dreaming
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…